una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Mdau una zawadi ya kufungua leo au kuna mchongo unauskilizia?

    Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Ni member yupi una uhakika yupo katika ignore list ya wanachama wengi humu?

  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

    Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
  4. stakehigh

    JamiiForums PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Una Degree, Masters au PhD lakini unaamini hawa manabii wa Leo?

    Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1 Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi. Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
  6. Fbn

    JamiiForums Harmonize inakuwaje kusema wasanii tumewakosea wakati una album ya mtu aliyetukosea kabisa

    Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa. Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu. Kwa sasa dunia nzima ishawakataa mkaona kenya ni karibu,kumbe ghana nayo,ikaja naijeria na nchi nyengine. We si ndo ulikuwa...
  7. U

    JamiiForums Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  8. Kijakazi

    JamiiForums Umafia wa Zanzibar una historia!

    hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu. https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
  9. T

    JamiiForums PostGE2025 Tume ya uchunguzi is officially jobless

    Tume yao haina kazi tena. Majibu yote kuanzia nguvu iliyotumika mpaka aliyetoa order wameyapata leo Waendelee kula pension tu
Back
Top Bottom