min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,584
Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake?
Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja.
Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.