Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,456
- 9,719
Salma ally kimaro, akamatwa Dubai airport baada ya kisemekana ubuyu alio beba una bangi, na si ubuyu WA kawaida, Binti huyo alidai ubuyu huo alipewa na agent aliempeleka Dubai hivo hafahamu mambo ya bangi.
Hii mizigo ya kawaida tunayo pewa tuipeleke sehemu Fulani imesha kua hatari Kwa macho ya nyama unaona ubuyu kumbe, watu wameweka mizigo Yao.
Hii mizigo ya kawaida tunayo pewa tuipeleke sehemu Fulani imesha kua hatari Kwa macho ya nyama unaona ubuyu kumbe, watu wameweka mizigo Yao.