Chansela Scholtz wa Ujerumani asema gharama ya kupambana na Hamas hailingani na umuhimu wa lengo. Hawezi kukaa kimya kuona watu wanakufa namna ile

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,180
10,905
Kiongozi wa Ujerumani, chansela Scholtz amemshushua Benjamin Netanyahu hadharani hapo jana wakati wa mjumuisho wa ziara yake nchini humo mbele ya waandishi wa habari.

Kauli zake ni kuungana na viongozi wengi wa kimataifa ambao wameingiwa na huruma japo hatua wanazochukua haziendani na haja ya haraka iliyopo sasa ndani ya Gaza.

Vitu muhimu alivyovieleza kwa njia ya maswali ni kuwa hata kama Israel ilikasirika na kuona umuhimu wa kupigana na Hamas basi si kwa namna hii ya gharama na hasara kubwa kwa watu.

Yeye binafsi amesema hawezi kukaa kimya kuona watu wanakufa njaa namna ile na akahimiza jumuiya ya kimataifa nayo isikae kimya kwa kumuendekeza Netanyahu.

Cha muhimu zaidi na cha kuzingatia ni kuwa viongozi wa Ulaya wamepatwa na huruma na binadamu wenzao huku wale majirani na ndugu wa Gaza wakipiga kimya kama hawapo.

Na misimamo hiyo ni tofauti sana na wapuuzi wa JF akina Kinyungu, MK254 na Imeloa kuwataja kwa uchache.Hao wangependa eti Netanyahu apige bomu la Nyuklia kupata ushindi.

Wanaojua kizungu wasome hapo chini.

===​

German Chancellor Olaf Scholz questioned the "terribly high costs" of Israel's offensive on Palestinian Islamist group Hamas in Gaza on Sunday, saying the world could not simply stand by and watch as Palestinians risk starvation in the enclave.

Speaking after talks with Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu in Jerusalem, Scholz said he had shared his concerns about the high number of civilian casualties and insufficient aid reaching Gaza where aid agencies say famine is looming.

While many countries have expressed similar concerns, the warning was unusually stark for the German leader, who has continuously underscored Israel's right to defend itself after Hamas' Oct. 7 assault on the country that killed 1,200 people, according to Israeli tallies.

Germany has been one of Israel's staunchest allies alongside the United States, underlining its duty to stand by the country's side in atonement for its perpetration of the Nazi Holocaust in which 6 million Jews died.

"The more desperate the situation of the people in Gaza becomes, the more this begs the question: No matter how important the goal can it justify such terribly high costs, or are there other ways to achieve your goal?" Scholz said in English at a joint appearance with Netanyahu.

Scholz's trip on Sunday to Jordan and Israel came after Israel on Friday approved a plan to attack the city of Rafah on the southern edge of the shattered Palestinian enclave where more than half of its 2.3 million residents are sheltering after five months of war.

Global allies and critics have urged Netanyahu to hold off attacking Rafah, fearing mass civilian casualties. But Israel says it is one of the last strongholds of Hamas whom it has pledged to eliminate and that residents will be evacuated.

"How should more than 1.5 million people be protected? Where should they go?" Scholz asked. The large number of civilian casualties that would result from a Rafah assault would make regional peace "very difficult", Scholz said earlier in the day after talks with Jordanian King Abdullah in the Jordanian Red Sea port of Aqaba.

Scholz added that he had spoken with Netanyahu about the need for conditions for the distribution of aid to be "urgently and massively improved".

"We cannot stand by and watch Palestinians risk starvation," he said. "That's not us. That is not what we stand for."

TWO-STATE SOLUTION

Sustainable security will not come from "higher walls and deeper ditches" but from a positive perspective for both the Israeli and Palestinian peoples, meaning a two-state solution, said Scholz.

For this the Palestinian Authority needs to be reformed and strengthened, both in terms of personnel and structures, he said.

"Lasting security for future generations of Israeli people lies in a solution with the Palestinians, not against them," he said. "Terror cannot be defeated with military means alone."

Netanyahu responded by saying that an agreement that made Israel look weak would create an unsustainable peace.

Speaking with reporters earlier in the day in the Jordanian Red Sea port of Aqaba, Scholz said it was "very clear we must do everything so the situation does not get worse than it already is."

Scholz did not directly answer a question about whether Germany would react to a large-scale Rafah offensive, for example by restricting German weapons exports to Israel.

Germany is facing growing accusations - including from prominent Jewish residents in Germany - of allowing guilt to blinker its response to Israel's retaliation.

Malaysian Prime Minister Anwar Ibrahim accused Europe during a visit to Berlin last week of being "hypocritical" and selective in its concern for different peoples, overlooking decades of widespread Palestinian suffering.

Israel's air and ground campaign in the enclave has killed more than 31,600 people, say health authorities in Hamas-run Gaza, driven most of the population from their homes and brought them to the brink of famine, according to aid agencies.

Yahoo News
 
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ndg, yangu ktk Adamu Alwaz. Achana na huruma fake za wazungu. Wakiwa chumbani wanamwambia Neta "piga hadi wapotee" wakija nje wanasema "hatukubali uonevu wa Neta" kama haitoshi UN wakiitisha kura za usitishaji mauaji (siyo mapigano) wazungu wanapinga. Usidanganyike kiwepesi mkuu.
Kumbe ni siasa za hadaa.
Mimi kinachoniuma zaidi ni ukimya wa waarabu.Hebu tupe na tafsiri yako juu ya hilo.
 
Waarabu wote wako sahihi kwani wanajua vizuri kwamba magaidi wa Hamas ndio walioichokoza Israel na wanaona Israel wana haki ya kuwapa fundisho magaidi wa Hamas ili wakome kucheza na Israel kwani ni wenyewe ndio wanaishia kuumia.

Kitu kinachonishangaza hawa magaidi wa Hamas wamewaua kikatili watanzania wasiohusika kabisa na mgogoro wao lkn bado kuna watu wapumbavu humu ndani eti wanawahurumia wakati wanapo nyukwa na waisrael.

Ngoja washikishwe adabu kwanza ili watambue kwamba ugaidi wao hauwezi kuvumiliwa na dunia ya watu waliostaarabika.
 
Kiongozi wa Ujerumani, chansela Scholtz amemshushua Benjamin Netanyahu hadharani hapo jana wakati wa mjumuisho wa ziara yake nchini humo mbele ya waandishi wa habari.

Kauli zake ni kuungana na viongozi wengi wa kimataifa ambao wameingiwa na huruma japo hatua wanazochukua haziendani na haja ya haraka iliyopo sasa ndani ya Gaza.

Vitu muhimu alivyovieleza kwa njia ya maswali ni kuwa hata kama Israel ilikasirika na kuona umuhimu wa kupigana na Hamas basi si kwa namna hii ya gharama na hasara kubwa kwa watu.

Yeye binafsi amesema hawezi kukaa kimya kuona watu wanakufa njaa namna ile na akahimiza jumuiya ya kimataifa nayo isikae kimya kwa kumuendekeza Netanyahu.

Cha muhimu zaidi na cha kuzingatia ni kuwa viongozi wa Ulaya wamepatwa na huruma na binadamu wenzao huku wale majirani na ndugu wa Gaza wakipiga kimya kama hawapo.

Na misimamo hiyo ni tofauti sana na wapuuzi wa JF akina Kinyungu, MK254 na Imeloa kuwataja kwa uchache.Hao wangependa eti Netanyahu apige bomu la Nyuklia kupata ushindi.

Wanaojua kizungu wasome hapo chini.

===​

German Chancellor Olaf Scholz questioned the "terribly high costs" of Israel's offensive on Palestinian Islamist group Hamas in Gaza on Sunday, saying the world could not simply stand by and watch as Palestinians risk starvation in the enclave.

Speaking after talks with Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu in Jerusalem, Scholz said he had shared his concerns about the high number of civilian casualties and insufficient aid reaching Gaza where aid agencies say famine is looming.

While many countries have expressed similar concerns, the warning was unusually stark for the German leader, who has continuously underscored Israel's right to defend itself after Hamas' Oct. 7 assault on the country that killed 1,200 people, according to Israeli tallies.

Germany has been one of Israel's staunchest allies alongside the United States, underlining its duty to stand by the country's side in atonement for its perpetration of the Nazi Holocaust in which 6 million Jews died.

"The more desperate the situation of the people in Gaza becomes, the more this begs the question: No matter how important the goal can it justify such terribly high costs, or are there other ways to achieve your goal?" Scholz said in English at a joint appearance with Netanyahu.

Scholz's trip on Sunday to Jordan and Israel came after Israel on Friday approved a plan to attack the city of Rafah on the southern edge of the shattered Palestinian enclave where more than half of its 2.3 million residents are sheltering after five months of war.

Global allies and critics have urged Netanyahu to hold off attacking Rafah, fearing mass civilian casualties. But Israel says it is one of the last strongholds of Hamas whom it has pledged to eliminate and that residents will be evacuated.

"How should more than 1.5 million people be protected? Where should they go?" Scholz asked. The large number of civilian casualties that would result from a Rafah assault would make regional peace "very difficult", Scholz said earlier in the day after talks with Jordanian King Abdullah in the Jordanian Red Sea port of Aqaba.

Scholz added that he had spoken with Netanyahu about the need for conditions for the distribution of aid to be "urgently and massively improved".

"We cannot stand by and watch Palestinians risk starvation," he said. "That's not us. That is not what we stand for."

TWO-STATE SOLUTION

Sustainable security will not come from "higher walls and deeper ditches" but from a positive perspective for both the Israeli and Palestinian peoples, meaning a two-state solution, said Scholz.

For this the Palestinian Authority needs to be reformed and strengthened, both in terms of personnel and structures, he said.

"Lasting security for future generations of Israeli people lies in a solution with the Palestinians, not against them," he said. "Terror cannot be defeated with military means alone."

Netanyahu responded by saying that an agreement that made Israel look weak would create an unsustainable peace.

Speaking with reporters earlier in the day in the Jordanian Red Sea port of Aqaba, Scholz said it was "very clear we must do everything so the situation does not get worse than it already is."

Scholz did not directly answer a question about whether Germany would react to a large-scale Rafah offensive, for example by restricting German weapons exports to Israel.

Germany is facing growing accusations - including from prominent Jewish residents in Germany - of allowing guilt to blinker its response to Israel's retaliation.

Malaysian Prime Minister Anwar Ibrahim accused Europe during a visit to Berlin last week of being "hypocritical" and selective in its concern for different peoples, overlooking decades of widespread Palestinian suffering.

Israel's air and ground campaign in the enclave has killed more than 31,600 people, say health authorities in Hamas-run Gaza, driven most of the population from their homes and brought them to the brink of famine, according to aid agencies.

Yahoo News
Mzee Trumpet alisema zipo shit hole Country ila ulaya na Amerika zimejaa bora hara Afrika tunaanza anza kuzinduka usingizini 😂
 
Kumbe ni siasa za hadaa.
Mimi kinachoniuma zaidi ni ukimya wa waarabu.Hebu tupe na tafsiri yako juu ya hilo.
Waarabu ni kama wewe tu umeishia kuongea wakati unao uwezo wa kwenda kusaidia kupigana
 
Ninachofurahi wanasema lakini Netanyau yeye hasikii!! Leo mnahitaji huruma!!? Wakati ule mliwaona hamas wababe, ila zamu hii kipondo kimetolewa
 
Back
Top Bottom