umeme

  1. JamiiForums Tanzania Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

    Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo? Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini hizi pesa za Tozo zisitumike kuboresha Umeme nchini?

    Sasa imekua kero yani kero haswa! Hapa nilipo umeme umekatika Mara 3 na mpaka Sasa Hakuna umeme while last year mpk May mwaka huu ilikua TANESCO wakikata ni only one day per week Tena kwa taarifa. Kwanini hizi pesa tunazokatwa bila ridhaa zisitumike kujenga miundo mbinu ya umeme? Tuliambiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Huu ni mgao wa umeme au mabwawa yamekauka?

    Dar es salaam hakuna umeme maeneo ya Chanika tangu jana na leo siku nzima hakukuwepo umeme hadi hivi niandikapo. Je, ni halali Tanesco kupokea pesa kutoka kwa wateja wake halafu wagome kutoa huduma? Je, kama Kuna matatizo ya kiufundi hivi si busara kuwataarifu wateja wanaotegemea umeme wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

    Chonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
  5. JamiiForums Tanzania Unafiki huu mpaka lini? Kila Zuri sifa Rais, Umeme ukikosekana lawama kwa Waziri

    Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu. Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na hasa mambo haya yalianzia kwa Magufuli na sasa yameota mizizi. Lakini Serikali hiyo hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Maji na Umeme imekuwa janga la taifa, Serikali tusaidieni kazi zimesimama vyakula vinaharibika kweye friji

    Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Mbeya umeme vipi?

    HII MBEYA UMEME VIPI? Ndagafijo Nimetoka zangu huko visiwani nyumbani kwa mama wa nchi nikasema walau nijivinjari huku bara, ili kusaka tonge ili yule bidada mrembo asiye na doa, nimmilikiye asije nikimbia licha ya subra na uvumilivu alojaliwa na manaan. Sio hilo tu je huyu binti yake ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania January Makamba akiweza kutatua tatizo la umeme nchini atakuwa amejisafishia njia

    Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika. Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika...
  9. JamiiForums Tanzania Makamba: Mradi wa JNHPP upo nyuma kwa siku 477 (yaani mwaka na zaidi ya siku 100)

    Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?! Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo Makamba anatujuza mradi upo nyuma kwa siku zote zile?! Yaani ukali wote wa Hayati JPM hasa alivyokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania January Makamba, umeme umekatika mkoa wa Kilimanjaro masaa 6 hadi sasa

    January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike. Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena . Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
  11. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Morogoro kila siku umeme kukatika, kwanini?

    Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana. Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

    Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme: Kalemani alimdanganya Rais Samia

    Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku hiyo. Ukienda kusoma taarifa hiyo, utaona Rais Samia (akiwa Makamu wa Rais0 alisema kwamba amezungumza...
  15. JamiiForums Tanzania 2013 mlisema tunaanza kuuza umeme nje ya nchi. Je, tumeshafanikisha?

    Pia, soma https://www.jamiiforums.com/threads/tanzania-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-kuanzia-mwakani.488637/ https://www.jamiiforums.com/threads/maajabu-tanzania-kutoka-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-hadi-kununua-umeme-cheap-toka-ethiopia.1228928/
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO: Mikoa 11 kukosa umeme kwa masaa 12 tarehe 15 Novemba 2021

    Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa. Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika Umeme ni Dar es Salaam yote au?

    Wadau hivi hii katikakatika ya umeme inayoendelea ni huku kwetu tu au ni jiji zima la Dar? Huku maeneo ya kawe, mbezi beach, tegeta tunateseka sana. Naamini na maeneo mengine hali ni hiyo hiyo. Kwa muda wa karibu mwezi mmoja kumekua na hii shida kwa kiasi kikubwa sana. Nakumbuka kipindi cha...
  18. JamiiForums Tanzania January Makamba unaturudisha Misri

    Hapo vip!! Kwanza huwa na kukubali kwasababu ni moja wa viongozi vijana unayejielewa na unabusara pia. Ila lazima nikuchane inapotokea jambo ambalo halijakaa vizuri!! Hili swala la mgawo wa umeme tena ya kushtukiza na kimya kimya..ni tafsiri mbaya kwa wanzania. Kumbuka swala la umeme ni swala...
  19. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme na maji Moshi

    Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Kenya. 92.3% ya umeme wetu ni wa nishati mbadala (renewable energy)

    92.3% ya umeme wetu ni renewable energy. Tutagonga 100% kabla ya mwaka wa 2030. Renewables Provided 92.3% Of Kenya’s Electricity Generation in 2020! As the world races to decarbonize, Kenya’s electricity sector is well on the way to being powered by 100% renewables. According to the latest...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…