umeme

  1. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Mgao mkali wa umeme waweza kutokea nchini. Serikali imejipanga?

    'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'. Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito. Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu. Nishati ya umeme ni nishati...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nani ameleta wazo la kununua nguzo za umeme nje ya nchi? Ni January Makamba?

    Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayozalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu. Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi kutoaka maeneo haya kukosa kipato? ... Nguzo za hapa nchini hazina ubora?
  3. kidereko

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia. Wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme na kwenye gesi ya kupikia

    Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia. Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya kupikia na umeme ndani ya nchi. Pia kutokana teknolojia kukua, mfumko wa bei umo hadi kwenye huduma za...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mganga wa kienyeji ajenga madarasa ya shule, achimba kisima, aweka solar

    Mganga mmoja wa tiba za kienyeji katika Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu amejitolea kwa gharama zake kujenga vyumba viwili vya madarasa ya kisasa, kuchimba kisima cha maji na kuweka umeme wa Sola kwenye shule mbalimbali wilayani humo. Mganga huyo Ndabagija Katani amesema ameamua kufanya hivyo...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati afanye zaidi ya kusambaza umeme kwa wanavijiji

    Kuna vijiji ambayo tangu dunia hii imeumbwa hawajawahi kuona umeme wa TANESCO, Sasa ni mara Yao ya kwanza umeme unafika kwao. Hii Ina maana kuwa pamoja na kupata faida ya umeme lakini watapata pia hasara za kuwa na umeme kama vile kupigwa shoti, kunaswa na umeme, kuunguza nguo kwa pasi na nyumba...
  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

    Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba. Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
  8. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Hitilafu ya umeme chanzo cha moto Soko la Karume

    Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Moto huo...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

    January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati. Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji? Leo hii tungekamilisha JNHP...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ingeondoa kodi zote kwa magari ya umeme

    Bei yamafuta inazidi kupanda. Maana yake nchi tutatumia pesa nyingi sana kununua mafuta. Pesa ambazo zingeweza kufanya mambo mengine ya kukuza uchumi. Nashauri serikali ifanye mambo yafuatayo ili tupunguze kwa kiasi kikubwa matumizi ya mafuta. 1.Tungeondoa kodi zote kwa wale wanaonunua magari...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itumie gesi ya kabonidayoksaidi iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme

    Najua serikali yangu ni sikivu. Leo nimekuja na bonge la ushauri. Naiomba serikali tutumie gesi ya kabon dayoksaidi (okay) iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme. Kwani tunayo gesi nyingi sana kule Tukuyu ambayo ni malighafi inayotumika Kuzalishia umeme. Tuchangamkie fursa hiyo.
  12. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  13. Nafaka

    JamiiForums Tanzania TANESCO mbona mmekata umeme tangu usiku huku Bunju?

    TANESCO kuna shida gani mvua kidogo tu mmekata umeme tangu usku mpaka sasa huku bunju. Mnatutia hasara mjini umeme ni muhimu tunapishana na pesa. Yani mvua ikinyesha nyie mnapata excuse ya kukata.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kukatika katika kwa umeme mkandarasi wa stigler's anadai bil18 hasara , cc Wananchi nani atatufidia, samaki kuoza, vifaa kuungua

    CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo, kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mwaka ujao wa fedha tumetenga fedha nyingi kwa ajili ya kujenga vituo vya Kustabilize Umeme ili kukatikakatika Umeme iwe historia

    Rais Samia amesema kufuatia tatizo la kukatika katika Umeme kuanzia kwenye ujenzi wa Bwawa la Nyerere na maeneo mengine ya uwekezaji serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kujenga vituo vya ku-stabilize umeme kila eneo nchini. Rais Samia ameomba bunge likasimamie jambo hilo. Source: ITV
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, huu mchezo wa kuwasha na kuzima switch za umeme kama mtoto anachezea, maana yake nini?

    Tangu waziri wa nishati mpya aingie madarakani, kumeibuka mchezo wa kuwasha na kuzima switch mithili ya mtoto anaecheza na toy. Sababu nyingi sana za kijinga jinga zimetolewa na wahusika, waziri akiwemo. Yalianza mambo ya ‘scheduled maintanance’, baadae wakasema miaka mitano hapakuwa na...
  18. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ulisema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!" Una habari Kuna mbuzi wana kamba moja tu!

    Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..? Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..? Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania Umeme wa REA kiukweli umeleta changamoto sana kwa baadhi ya waombaji wapya wa Umeme

    Pamoja na serikal ilifanya vizuri kuja na mradi wa kuleta umeme katika maeneo ya mbali na mijin Kwa maoni yangu naona bado katika baadhi ya utekelezaj wa mradi hii watekelezaji walivurunda sanaa hasa katika swala la kuzingatia uwekaji nguzo katika mipaka baina ya kiwanja kimoja na kingine...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mbona Mwanza Mgao wa umeme unaendelea?

    Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni...
Back
Top Bottom