umeme

  1. JamiiForums Tanzania Kero ya Umeme, barabara yasimamisha msafara wa Chongolo. Atoa maagizo

    Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo umesimamishwa na wananchi wa Msia, Kata ya Milepa, Jimbo la Kwela mkoani Katavi ili kufikisha kero yao ya umeme na barabara. Wananchi hao wamesimamisha msafara huo leo Jumanne, Oktoba 10, 2023 wakati Chongolo na Katibu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

    Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini. Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike. Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
  3. JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguzo za umeme za Miti

    Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Umeme wa REA vijiji vya kata za Kagoma wilayani Muleba usitolewe kwa ubaguzi

    Ni miaka takribani sita tangu mradi wa umeme kwenye baadhi ya vijiji vya kata za Kagoma wilayani Muleba upite lakini wananchi walio wengi mpaka sasa hawajaunganishiwa umeme. Vijiji vilivyoathirika zaidi ni kijiji cha Manyora, Katwelelo na Muyenje. Kijiji cha muyenje kiliathirika zaidi kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua ratiba ya mgao wa Umeme!

    Nchi ni ngumu sana hii.
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

    Leo tarehe 02 October 2023 nimenunua umeme wa sh.11,000/= ambapo nilitegemea kupata unit 28.0 lakini nimepata unit 26.6! Je, umeme umepanda bei au ni tabia nchi tu!
  8. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Tumeambiwa mitambo, je mafundi tunao?

    Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu. Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme? Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Biteko Awasha Umeme

    MHE. DKT. BITEKO AWASHA UMEME KIJIJI CHA NTANGA NA KASHARAZI - NGARA ✔️ AENDELEA NA MCHAKAMCHAKA WA KUWASHA UMEME VIJIJINI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa mbalimbali nchini ambayo imejumuisha kuwasha umeme katika baadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. Naibu Waziri anazungumza Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la umeme naaamini Tanzania tunahujumiwa

    Naamini tunafanyiwa hujuma kwa sababu nishati ya umeme ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi. Tanzania ina kila kitu cha kulifanya Taifa hili kuwa moja ya Mataifa makubwa kiuchumi baada ya Misri,South Africa na Nigeria lakini bado tupo nyuma. Hapa tulipo kiuchumi sio sehemu yetu tunapaswa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  13. JamiiForums Tanzania Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kukatika kwa Umeme

    Hii kero ya kukatika kwa umeme, kwanini isifike wakati tuangalie uwezekano wa kutengeneza miundombinu ya uzalishaji wa umeme wa jua kwa ukubwa au vyanzo vingine mbadala kuliko kutegemea maji ambayo hupungua na kuongezeka.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukakusanya kodi umeme ukiwa wa Kibatari

    Kiongozi yeyote ili kufikia malengo yake lazima awe na Mikakati. Mojawapo ni uzalishaji wa umeme WA kutosha , ili mitandao ya kukusanya Kodi iwe na ufanisi unaotakiwa, Kwa kutumia vishikwambi kwenye maduka ya mtaani nk. Pia uzalishaji mwingi WA viwandani iwe vikunwa au vidogo inahitaji umeme...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Juzi Mama akiapisha wateule umeme haukukatwa, leo Maulidi umekatwa

    Ninafikiri lengo lilikuwa kuhakikisha hotuba ya Rais inasikilizwa na kuwafikia wananchi wengi. Mtazamo wangu ninaona hata kwa siku ya leo hawa watawala + tanesco wangefanya uungwani kuwaachia umeme wananchia hasa masikini wasiokuwa na uwezo wa kununua solar na generator. Na kwa kufanya hivyo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi. Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6! Naomba watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda bila Umeme wa bei nafuu ni ndoto ambayo hatutaacha kuiota

    Gharama nafuu za umeme ni sababu muhimu inayoweza kuwavutia wawekezaji wa viwanda. Gharama za umeme zina athari kubwa kwa uendeshaji wa viwanda, na viwanda vinavyotumia umeme kwa wingi vinaweza kuwa na gharama kubwa za nishati. Hivyo, gharama za umeme zinapokuwa chini, nchi inaweza kuwa marudio...
  19. JamiiForums Tanzania Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
  20. JamiiForums Tanzania Tanesco Mngesubiri Watu Wajiandae Waende Makazini Angalau, Mnakata Umeme Mtu Akiwa na Mapovu Bafuni Wazee...?

    Hata salamu sitoi. Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee. Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…