umeme

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tumewakosea nini watu wa Mwanza kuhusu Ukosefu wa Umeme?

    Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi. Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani. Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi. Mshaharaaa uwiii
  3. JamiiForums Tanzania Transformer la umeme mtaa wa Livingstone na Lindi lageuka kitega uchumi kwa wafanyakazi wa TANESCO

    Hilo transformer kila siku TANESCO wanapigiwa simu, wakija wanataka pesa kulitengeneza fuse yake, wanaitegesha tegesha kihuni huni tu ili ifanye kazi kidogo, ikifika kesho yake inazima tena, ukiwapigia simu wanakuja ila wewe uliyewapigia inabidi uwape pesa watengeneze, wanachokonoa chokonoa fuse...
  4. JamiiForums Tanzania Umeme, umeme, umeme, wapi umeme?

    Huku bandari, pale bashite, kulee genge limetulia, Umeme kukosa mteteaji ndio mpango wenyewe, Wateteaji wako bize kukimbizana na Bashite, Na wengine wako bize wakikosoa mikataba.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umeme Si Tatizo Tena Ni Usugu ulio Pitiliza

    Takribani miezi sasa tunasika tatizo la umeme ama mgao au upungufu Kwa neno jingine, sasa tunaomba kujua Hilo tatizo limebadikika maana mfano Mwanza wilay nyamagana hususani nyegezi hili eneo la stendi ni takribani wiki ya pili sasa umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurejeshwa jioni Sana...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Oktoba, 2023

    Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linatangaza nafasi kama ifuatavyo:
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  8. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kwa jitihada za kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi. Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa Umeme: Vifurushi vya TV, Kodi TRA zipungue

    Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12? Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile? Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile? Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Takwimu za athari za mgao wa umeme zikoje?

    Taifa letu limekuwa kwenye changamoto ya kutokuwa na umeme wa uwakika toka enzi na enzi. Serikali imefanya jitihada kubwa kusambaza umeme mijini na vijijini. Tuwapongeze viongozi kwa hilo. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, uchumi, rasilimali tulizonazo, maendeleo haya hayaendani na ukubwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

    Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea. ======= Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year. Last year, the country exported...
  12. JamiiForums Tanzania Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na joto la ardhini kikikamilika kitazalisha Megawati 70

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na Umeme wa Joto ardhi kilichopo Kijiji cha Mbeye, Kata ya Isongole. Katika ziara hiyo Haniu ameagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huu kufanya kazi kwa bidii ili...
  13. JamiiForums Tanzania Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, TANESCO wanaruhusu kugawana umeme kwa nyumba za taasisi?

    Naomba kuuliza swali mimi nakaa kwenye nyumba ya taasisi ila nyumba yangu ina umeme ya jirani yangu ipo kama mita 70 hivi haina umeme ila nataka kutoa waya kutoka kwenye extension yangu mpka kwake ili aweze kutumia kwa matumiz madgo madgo kama kuchaj simu n.k JE, HII INARUHUSIWA MAANA NI...
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya Diagnosis ya gari zote(Ndogo, Kubwa, mitambo, gari za umeme)

    Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine, Special functions zaidi ya 30 Active test Immobilizer and Key Programming Bidirectional Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet. Software yake ni 500,000...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Matumizi ya umeme Dar na Pwani ni zaidi ya nusu ya matumizi ya umeme Tanzania nzima

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Chalinze kujionea kinachoendelea kwenye mchakato huo. Baada ya kutembelea mradi Dkt. Biteko ameweka wazi kuwa mradi huo umefikia Asilimi 84 na unatarajiwa kukamilika...
  17. JamiiForums Tanzania Kero ya Umeme, barabara yasimamisha msafara wa Chongolo. Atoa maagizo

    Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo umesimamishwa na wananchi wa Msia, Kata ya Milepa, Jimbo la Kwela mkoani Katavi ili kufikisha kero yao ya umeme na barabara. Wananchi hao wamesimamisha msafara huo leo Jumanne, Oktoba 10, 2023 wakati Chongolo na Katibu wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

    Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini. Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike. Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
  19. JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguzo za umeme za Miti

    Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…