umeme

  1. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO na umeme wenye kujua sikukuu

    Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
  2. JamiiForums Tanzania Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya nyuma sikukuu umeme ulikuwa haukatwi

    Yaani hata kama kulikuwa na mgao vipi lakini serikali ilihakikisha umeme unakuwepo then baada ya sikukuu ndio utaratibu wa katakata ya umeme inaendelea. Niseme tu naumia sana kuona sikukuu yetu hii kubwa hatuna umeme huku nilipo. Na hili simlaumu Mama bali nawalaumu watendaji wa Sector ya...
  5. JamiiForums Tanzania From the Horse's Mouth: Mabwawa yote ya Umeme hayajajaa Maji na muda wowote Viwanda vifafunga Uzalishaji

    Leo hii GENTAMYCINE nimekutana na Mmoja wa Watu kutoka TANESCO na waliokuwa katika Team Maalum ya kwenda Kugagua Mabwawa yote ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambao wamerejea Dar es Salaam Siku ya Juzi ( Alhamisi ) Alichoniambia Mtendaji huyo Mwandamizi kutoka TANESCO ni kwamba pamoja na Mvua...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
  7. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

    Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa. Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme linatafutwa. Eti wa maji ni mgumu wanatafuta wa jua!!! Halafu wengine wanasema wanataka wa upepo kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

    Jana Arusha kutwa nzima hakuna umeme,usiku umeme ulirejea saa 7 asubuhi saa 1:43 wamekata. Tumeshindwa kupasi nguo,vyakula kwenye fridge vimeharibika,tumelipia Dstv full package hatuna tunaweza kutazama. Kipindi kuelekea Christmas 🎄 majumbani ukiwa mtupu. Tunajuwa Makamba alihujumu TANESCO...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM inatutesa kwa suala la Umeme?

    Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme. Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma Kweli...
  10. JamiiForums Tanzania Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

    Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo. Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu. Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
  12. JamiiForums Tanzania Ifike mahali huu mgao wa umeme angalau uzingatie kuleta Tija

    Hata kama ni mgao lakini nadhani hii sasa imezidi. Sijui kama hili shirika linajua kwamba unaounguza uzalishaji na kupunguza ukuaji wa biashara nchini kwa huu mgao. Hivi Tanesco wameshindwa kukaa chini na kuwaza ni namna gani hata huu mgao wa umeme utakuwa na manufaa kidogo miongoni mwa...
  13. JamiiForums Tanzania Christmas in Damascus, Syria once a Christian Countr na Umeme upo!

    kabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya Uislamu kuingia, Syria na mji wake wa Damascus hata umetajwa kwenye Biblia. leo hii Damascus...
  14. JamiiForums Tanzania Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  15. U

    JamiiForums Tanzania Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

    Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja. Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

    Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda. Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  20. JamiiForums Tanzania Umeme Maporomoko ya Rusumo Wafikia Asilimia 99.9

    NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80 unaotekelezwa kwa pamoja na nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi umefikia asilimia 99.9 na nchi hizo tayari zimeanza kupata umeme kutoka kwenye mradi huo. Dkt. Biteko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…