umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

    “Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM Una maoni gani?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  3. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Ni kweli umaarufu wa marehemu Kanumba ulikuwa ni zaidi ya Diamond Platnumz?

    Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
  4. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

    Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k. Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ? Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ? Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jinsi Jeshi la Polisi linavyoendeleza vitendo vya kukikandamiza chama Cha Chadema, ndivyo wanavyokiongezea umaarufu

    Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

    SUGU YUPO MAHUTUTI HOSPITALI, DAR ES SALAAM. 1.Sugu anaongea kwa taabu sana na Sauti ya chini sana, kutoka Hospitali binafsi aliyopelekwa leo asubuhi. 2.Sugu alivamiwa na kupigwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadhi binafsi siyo kwa kutuma askari wa chini, Kuanzia nje ya ofisi za...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kila kinachotokea kwa CHADEMA kinapaisha umaarufu wa chama hiki, tusonge mbele

    Hiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA tuendeleze mapambano ya ukombozi wa Mtanzania, haitakuwa rahisi ila tutashinda mwisho wa siku.
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Marekani barani Afrika washuka huku wa China ukiongezeka

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Shirika la Uchunguzi wa Maoni la Marekani Gallup umebaini kuwa umaarufu wa Marekani umeshuka barani Afrika, huku umaarufu wa China ukiongezeka. Utafiti huo uliofanywa katika nchi 36 za Afrika unaonesha kuwa, umaarufu wa Marekani barani Afrika kwa mwaka 2023...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaharakati wengi waliovuma kipindi cha Magufuli wamepoteza umaarufu wao awamu hii?

    Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi kuwepo kabisa katika harakati za siasa kabla ya urais wa Magufuli Baadhi ya Wanaharakati hao ni...
  13. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

    Mungu ni mwema Wakati wote Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa. -- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalorushwa na CMG lazidi kujibebea umaarufu duniani

    Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Umaarufu unatafutwa kwa njia nyingi, angalia huyu jamaa anadai kuwa ni mtoto wa Marioo

    Mimi Mjanja M1 siwezi kujichosha kuandika paragraph kuhusu hii Habari. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini inaifanya Zanzibar iizidi Comoro kwa umaarufu?

    Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi. Kwa nini imekuwa hivyo? Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
  18. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

    Habari wana jamii forum? Kuanzia miaka ya elfu mbili kushuka chini, eneo la Mbezi beach lilikuwa ni kati ya maeneo machache ya jiji la Dar es salaam ambayo yalikuwa na umaarufu mkubwa kama vile ilivyokuwa Masaki, Osterbay, Sinza nk. Hii ilipelekea watu wengi hasa wa mikoani wakisikia neno...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usitafute umàarufu kwa nguvu, utajidhalilisha na kuishia kujichukia

    USITAFUTE UMÀARUFU KWA NGUVU UTAJIDHALILISHA NA KUISHIA KUJICHUKIA. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Watu wengi hupenda kujulikana, na wengi huhusisha kujulikana kama moja ya nguzo za kuheshimiwa. Kuna ukweli katika hilo lakini itategemea unajulikana kwa jambo gani. Nini kinachopelekea wewe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

    Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka. Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru. Amechanga karata na huku tuendako...
Back
Top Bottom