Nini inaifanya Zanzibar iizidi Comoro kwa umaarufu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi.

Kwa nini imekuwa hivyo?

Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
 
comoro ikijiunga na tanganyika itaipiku zanzibar. Sijui kwa nini kina nyerere hawakuona umuhimu wa kuviunganisha visiwa hivyo na tanganyika. Muda upo kama vipi mazungumzo yafanyike comoro iwe sehemu ya tanzania, wale ni waswahili wenzetu tuwajumuishe kama zanzibar
 
Mbona inasemekana wanaoongea Kiswahili ni kama asilimia moja ya Wacomoro?
 
comoro ikijiunga na tanganyika itaipiku zanzibar. Sijui kwa nini kina nyerere hawakuona umuhimu wa kuviunganisha visiwa hivyo na tanganyika. Muda upo kama vipi mazungumzo yafanyike comoro iwe sehemu ya tanzania, wale ni waswahili wenzetu tuwajumuishe kama zanzibar
Comoro wanafaidi mema ya France waje kujichanganya Tena Kwa Mwenezi?
 
Znz ni maarufu tangu kabla ya ukoloni sababu ya biashara ya utumwa.
Pia inabebwa na bara mtalii anapiga two in one akitoka Serengeti au mlima Kilimanjaro anaunga Zanzibar akimaliza anarudi kwao.
Znz airport ina connection nyingi za ndege kuliko Comoro
 
Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
FB_IMG_1702085740919.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom