umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

    Ni kapteni Tesha! Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena. Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha. Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa. Alifanya makosa...
  2. Bramo

    JamiiForums Tanzania Magereza wanapotaka Umaarufu Kupitia Tundu Lissu

    Wakuu JF amani iwe nanyi. Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana. Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions zinatozenganishwa na ma Box. Afisa mwenye Nyota tatu begani anaishi Nyumba ya chumba na Sebule...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu: Kujibizana na Polepole ni kumpa Umaarufu asiostahili

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi mwaka 2015, Maliki Marupu, amemjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho. Katika majibu yake, Marupu amesisitiza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Uchukuaji fomu CCM ni Siasa za Urithi, Umaarufu, Uwekezaji ndani ya chama au upendeleo wa uteuzi baadae?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingia kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kasi ya aina yake. Hadi sasa, zaidi ya wanachama 5,475 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za ubunge na uwakilishi. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Julai 3,2025 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  5. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Umaarufu Usio na Maadili ni Mzigo wa Maisha

    "Wachana na kiherehere cha kutafuta umaarufu wa kijinga unaoweza kuyagharimu mapambano yako ya maisha. Hukuzaliwa ili kuwadhalilisha wengine kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii, uliletwa duniani kutimiza kusudi, si kuigiza maisha." — Alloyce, P.R.
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bashite Makonda akiwa Mwenezi, Samia akamuona Anajitafutia Umaarufu, Kwa Gwajima pia akaona hivohivo, Kwa Luaga Mpina kasema anajitafutia Umaarufu!

    Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex. Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

    Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa. Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600, kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Umaarufu usikufanye ukebehi mtu mteule wa Mungu!

    Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani. Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi. Hilo haliwezekani kamwe. Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tanzania na CCM aliotuachia Magufuri, mama anaushusha kwa kasi kubwa

    Niseme kwamba kalibu kila mtu alimpenda Magufuri watu na raia wa inje walimpenda pia,kila mtu huku inje alikuwa akikuona umetoka Tanzania atataka kukuuliza habari za magufuri,aliipaisha kwelikweli Tanzania na CCM Lakini sasa mama anaiharibia inchi,tunavuma kwa mabaya,tunatia aibu,tunatukanwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mji wa Puer wajibebea umaarufu Asia Mashariki na kwingineko kwa uzalishaji wa Chai yenye ladha tamu ya Pu’erh

    Wakati nilipotembelea mkoa wa Yunnan moja ya mambo ambayo sitakuja kuyasahau ni kupita katika eneo maarufu la Chai ya Pu’erh. Katika safari yangu ya treni wakati natoka Kunming mji mkuu wa mkoa wa Yunnan kuelekea Xishuangbanna, tulipitia kituo kimoja kiitwacho Puer. Mji huu wa Puer ambao upo...
  12. Now and then

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Pale umaarufu, trend na umashuhuru utakapohamia ndipo mwanamke anapoenda.

    Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za ki-soka Kuna wakati mwanamke mnene na makalio alionekana kama kama mzigo fulani hivi akawa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Wakuu Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sheikh Kipozeo umaarufu wake huja ikifika siku ya wapendanao na karibia na mfungo ramadhani?

    Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo. Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Watu maskini wana marafiki wa kweli, huku matajiri wakiwa na marafiki wa uongo wanaopenda pesa na umaarufu pekee

    Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao. Kwa wengi...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka umaarufu wa shule za St Mary's?

    Miaka hio ya 2000s hadi 2010s Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare Sijui zimeishia wapi siku hizi?
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

    Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu azidi kujipatia Umaarufu, Aibukia kwa Shekh Othman

    Hii sasa ni balaa, speed inatisha. Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu. Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno ya kizalendo, ya kiutu na upenda kwa Taifa la Tanzania. Ni ukweli usiopingiza Tundu Lissu ameingia...
Back
Top Bottom