ulinzi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

    kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha? Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga yasema Bodi ya Ligi ya Tanzania Bara ndio inahusika na suala la ulinzi mechi za CAF CL

    Anaandika Wakili Simon Patrick , Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga - Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na ulinzi wa uwanja? Nani anahusika na COVID tests? - Nani anahusika na kuruhusu mashabiki uwanjani? Nani...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Monduli, Frank Mwaisumbe aliyepopolewa Mawe na wananchi afunguka, ampiga chini Mwenyekiti wa kijiji

    Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini. Akitoa ufafanuzi Mbele ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  5. JamiiForums Tanzania Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    THISDAY CORRESPONDENT Musoma THE former Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, has denied any personal involvement or criminal wrongdoing in the controversial dealings surrounding the Buhemba gold mine in Mara Region. Sarungi recently came under sharp criticism...
  6. JamiiForums Tanzania Kuteua Waziri mwanamke Wizara ya ulinzi ni sawa?

    Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali wa viongozi unahujumu mahusiano na raia

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano (siyo tukio halisi) Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha

    NAFASI ZA KAZI YA ULINZI (NAFASI 30) KITUO CHA KAZI: DAR ES SALAAM/DODOMA/ARUSHA SIFA ZA MUOMBAJI Awe Mtanzania. Awe na Umri zaidi ya miaka 18. Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, JKT, Mgambo. Awe na Urefu wa Futi 6 na kuendelea. Awe tayari kufanya kazi Mahali Popote Tanzania na hasiwe na historia...
  9. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

    Nawasalimu katika jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Wapendwa tumekua tukiona kwa macho yetu, kwamba Mh Rais Samia ana walinzi wenye mabunduki mazito mazito pindi anapokua kwenye tukio au sehemu yoyote hapa Nyumbani Tanzania! Wale wana usalama ni wenye miili mikubwa,warefu na wamekula...
  10. JamiiForums Tanzania Diamond Platinum Apewe Ulinzi Mzito Popote Alipo.

    Vyombo vinavyohusika na ulinzi wa raia na mali zake chukueni jukumu ilo.
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sheria inataka Waziri wa Ulinzi ateuliwe baada ya muda gani, au hata asipokuwepo sawa tu?

    Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
  14. JamiiForums Tanzania Mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi

    Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke. Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili. Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Meja Elia Muarabu Muislamu Mwenye Cheo Cha Juu Kwenye Jeshi La Ulinzi la Israel

    Meja Elia Ndiye Muarabu Muislamu aliye na Cheo Juu Ndani ya Jeshi la Ulinzi la Israel ( IDF)
  17. JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA, ulinzi kwa viongozi wenu una dosari kubwa

    Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika. - Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu alipopigwa risasi 32 Dodoma inaonyesha Mh. Tundu Lissu hakuwa na ulinzi wowote wa chama chake na kama...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama atatoa Siri za nchi kwa maadui, Sabaya katufungua macho

    Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama. Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…