Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha?

Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui wameongezeka kwa kasi wengine walimtishia hadi kwenye audio clips embu angalia hii clips halafu uniambie hawa watu kama wako seriuous kweli hivikweli kwenye hii mikusanyiko mnaamini kila mtu ni mshabiki wa simba????

Anyway labda hata muhusika mwenyewe hajali kuhusu usalama wake, Imeshindikana kukodi hata mabaunsa wawili kwenye mikusanyiko hiyo?hata wapambe tu wa kum shield? endeleeni na uzembe wenu

Kumbuka huyo ni mwanamke tena mrembo , na tunaishi katika jamiii inayomchukulia mwanamke poa,kuna siku atatomaswa hadharani itakuwa too late

Defence yao mbovu sembuse kwa si i o?

If you know what i mean

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
usisahau namungo yuko nafasi ya 60 afrika,biashara akiingia makundi na yeye anapata points 2.5 nyie endeleeni na mdomo wenu na point yenu moja tangu 2017
Screen Shot 2021-10-15 at 23.42.32.png
Screen Shot 2021-10-15 at 23.41.34.png
Screen Shot 2021-10-15 at 23.42.10.png
 
Kuna Watu mna Upumbavu kweli kweli hivi dunia ya leo kuna haja ya Timu Kujificha ikiwa inafanya Mazoezi yake? Liverpool FC ikicheza na Manchester United FC timu zote hizi zikijiandaa na huo Mpambano wao ( Derby ) huwa zinajificha? Kwa Mtizamo wa hovyo kama huu wako Soka la la Tanzania Kukua na kuwa la Kisayansi ni ngumu.

Kiufundi na Kisayansi pia kwa Mpira wa Siku hizi kuna Kitu kinaitwa Football Intelligence au Team Intelligence Department ambapo Wapinzani wako hawana haja ya Kutizama Mazoezi yako bali Mikanda tu ya Video ya Mechi zako au ujio wao Physically kuja Kutizama Mechi zako za Ligi na hata za Kimataifa ulizocheza kupitia Mtu aitwae Team Performance Analyst ( ambaye Simba SC pia wanae kutokea nchini Zimbabwe ) zinatosha Kwao Kukusoma ulivyo Kiubora na Kimapungufu.

Mwisho Mashabiki wa Simba SC ni Waungwana, Wastaarabu na Simba SC ndiyo Klabu yenye Intellectuals wengi ndani na hata nje ya Tanzania hivyo hawawezi Kumvunjia Heshima CEO Wao ( Wetu ) Barbara Gonzalez kama ufikiriavyo Wewe Mwana Yanga SC Mnafiki ila hapa umejifanya ni Simba SC Mwenzetu.
 
Nimechagua kuku ignore kwa sasa out of respect kwamba tunashabikia team moja ila wew huwa una mambo ya kifala sana kwanza hii ID yako si ilikuwa na life ban?
Kwa Kosa gani Kubwa nimefanya hapa JamiiForums mpaka hii 'Brand ID' yangu iwe Banned Permanently kama Wapumbavu wengi wa mfano wako mnavyotaka?

Nikiwa nawafundisha jinsi Thinkers na kufanya Logical and Critical Thinking hapa JamiiForums badala ya Kunikasirikia na Kunichukia muwe mnanishukuru kwani.huwa nakuwa naimarisha 'Brains' zenu sawa?

Kuhusu Kunibloku ( Ignore ) hivi Mtu ambaye licha ya kila Siku kupata 'Followers' hapa huku ID yangu hii ikiwa ni miongoni mwa ID's 10 ( Kumi ) ambazo zinaongozwa kwa Kusomwa ( Kutembelewa ) sana na JamiiForums Members hapa Wewe Mpuuzi Mmoja tu au.hata mkiwa 50 'mkinibloku' mnanipunguzia nini?
 
Kuna Watu mna Upumbavu kweli kweli hivi dunia ya leo kuna haja ya Timu Kujificha ikiwa inafanya Mazoezi yake? Liverpool FC ikicheza na Manchester United FC timu zote hizi zikijiandaa na huo Mpambano wao ( Derby ) huwa zinajificha? Kwa Mtizamo wa hovyo kama huu wako Soka la la Tanzania Kukua na kuwa la Kisayansi ni ngumu.

Kiufundi na Kisayansi pia kwa Mpira wa Siku hizi kuna Kitu kinaitwa Football Intelligence au Team Intelligence Department ambapo Wapinzani wako hawana haja ya Kutizama Mazoezi yako bali Mikanda tu ya Video ya Mechi zako au ujio wao Physically kuja Kutizama Mechi zako za Ligi na hata za Kimataifa ulizocheza kupitia Mtu aitwae Team Performance Analyst ( ambaye Simba SC pia wanae kutokea nchini Zimbabwe ) zinatosha Kwao Kukusoma ulivyo Kiubora na Kimapungufu.

Mwisho Mashabiki wa Simba SC ni Waungwana, Wastaarabu na Simba SC ndiyo Klabu yenye Intellectuals wengi ndani na hata nje ya Tanzania hivyo hawawezi Kumvunjia Heshima CEO Wao ( Wetu ) Barbara Gonzalez kama ufikiriavyo Wewe Mwana Yanga SC Mnafiki ila hapa umejifanya ni Simba SC Mwemzetu.
Hata Mimi napinga kufanya mazoezi ya wazi, mpira wa Sasa ni mbinu zaidi na mpinzani wako anajiandaa jinsi utakavyokuja. Sasa hivi Simba ikicheza na yanga list yake inajulikana siku tatu kabla na hata fomesheni yake inajulikana mapema waache kujifanya wanajua
 
Na kwenye magazeti huwa wanaandika kabisa,utasikia ...kocha katika mazoezi alikuwa akisisitiza pasi fupi huku akiwatumia viungo kadhaa na washambuliaji huyu.na huyu....
 
Hata Mimi napinga kufanya mazoezi ya wazi, mpira wa Sasa ni mbinu zaidi na mpinzani wako anajiandaa jinsi utakavyokuja. Sasa hivi Simba ikicheza na yanga list yake inajulikana siku tatu kabla na hata fomesheni yake inajulikana mapema waache kujifanya wanajua
Nani pia Kakudanganya kuwa hata Simba SC nao kwa Umafia walionao ( tulionao ) huwa List ya Yanga SC inayoanza huwa hatuijui mapema?

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba Simba SC huwa tunazidiwa na Yanga SC kwa 'Uchawi' tu na kuna Watu Wanne ( 4 ) ndani ya Simba SC ( tena Mmoja ni Kocha ) pamoja na Mtu Mmoja katika Benchi la Ufundi na Viongozi Wawili ambao ni Wanafiki na Wasaliti huwa wanauza Siri ya Kambi kwa Gharib na Hersi na wanalipwa Hela nyingi kisa Mbinu zetu zote za 'Kishirikina' zinapinduliwa na tunaumizwa na akina Zawadi Mauya na Fiston Mayele ( bila kusahau hata lile Goli la Bernard Morrison ) la mwaka Juzi.

Tuombeane Uhai ikikaribia tu Simba SC na Yanga SC Mwezi wa December 2021 naenda Kuwaanika hawa ( hao ) Wasaliti wote ndani ya Simba SC japo naambiwa tayari baadhi yao yameshawakuta na kuna Mmoja sasa anaumwa ( Ugonjwa haujulikani ) huku mwingine nae Upofu ukianza Kumtesa na kuna Jambo linaenda Kufanyika Klabuni Siku si nyingi ambapo wale Wote wanaotumika 'Kuisaliti' Simba SC kila ikicheza na Yanga SC wanaenda kukutwa na Makubwa na wakifanya Mzaha hata Kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa akina Marehemu Ngumi Jiwe na Wenzake Wawili ambao walionywa sana ila hawakusikia na wakajawa na Viburi na Jeuri.
 
Hivi uchawi wa yanga kimataifa haufanyi kazi
 
Kuna Watu mna Upumbavu kweli kweli hivi dunia ya leo kuna haja ya Timu Kujificha ikiwa inafanya Mazoezi yake? Liverpool FC ikicheza na Manchester United FC timu zote hizi zikijiandaa na huo Mpambano wao ( Derby ) huwa zinajificha? Kwa Mtizamo wa hovyo kama huu wako Soka la la Tanzania Kukua na kuwa la Kisayansi ni ngumu.

Kiufundi na Kisayansi pia kwa Mpira wa Siku hizi kuna Kitu kinaitwa Football Intelligence au Team Intelligence Department ambapo Wapinzani wako hawana haja ya Kutizama Mazoezi yako bali Mikanda tu ya Video ya Mechi zako au ujio wao Physically kuja Kutizama Mechi zako za Ligi na hata za Kimataifa ulizocheza kupitia Mtu aitwae Team Performance Analyst ( ambaye Simba SC pia wanae kutokea nchini Zimbabwe ) zinatosha Kwao Kukusoma ulivyo Kiubora na Kimapungufu.

Mwisho Mashabiki wa Simba SC ni Waungwana, Wastaarabu na Simba SC ndiyo Klabu yenye Intellectuals wengi ndani na hata nje ya Tanzania hivyo hawawezi Kumvunjia Heshima CEO Wao ( Wetu ) Barbara Gonzalez kama ufikiriavyo Wewe Mwana Yanga SC Mnafiki ila hapa umejifanya ni Simba SC Mwenzetu.
We ni mpumbavu week zilizopita ulileta thread mwenyewe kwamba kwanini Simba anacheza wazi ,hapa unasema dunia ya leo mpira ni wazi,tukuelewe vipi we shoga
 
Kuna Watu mna Upumbavu kweli kweli hivi dunia ya leo kuna haja ya Timu Kujificha ikiwa inafanya Mazoezi yake? Liverpool FC ikicheza na Manchester United FC timu zote hizi zikijiandaa na huo Mpambano wao ( Derby ) huwa zinajificha? Kwa Mtizamo wa hovyo kama huu wako Soka la la Tanzania Kukua na kuwa la Kisayansi ni ngumu.

Kiufundi na Kisayansi pia kwa Mpira wa Siku hizi kuna Kitu kinaitwa Football Intelligence au Team Intelligence Department ambapo Wapinzani wako hawana haja ya Kutizama Mazoezi yako bali Mikanda tu ya Video ya Mechi zako au ujio wao Physically kuja Kutizama Mechi zako za Ligi na hata za Kimataifa ulizocheza kupitia Mtu aitwae Team Performance Analyst ( ambaye Simba SC pia wanae kutokea nchini Zimbabwe ) zinatosha Kwao Kukusoma ulivyo Kiubora na Kimapungufu.

Mwisho Mashabiki wa Simba SC ni Waungwana, Wastaarabu na Simba SC ndiyo Klabu yenye Intellectuals wengi ndani na hata nje ya Tanzania hivyo hawawezi Kumvunjia Heshima CEO Wao ( Wetu ) Barbara Gonzalez kama ufikiriavyo Wewe Mwana Yanga SC Mnafiki ila hapa umejifanya ni Simba SC Mwenzetu.
Uko sahihi, mashabiki wa Simba ni wa kileo,wastaarabu!
 
Back
Top Bottom