Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi.
Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika.
Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu
Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama ambao naamini Kila mmoja anakwenda na timu ya Watu wasiopungua kumi. Watu Hawa...
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa...
Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda.
Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia.
UPDATE:
Mama...
Mkataba kama wa NATO hufanya nchi wanachama wajione wamoja na huwa hawawezi kukwaruzana kijeshi. Kwa vile Jumuia ya Afrika ya Mashariki imepanuka na kuwa kubwa sana ikiwa na nchi zenye itikadi tofauti tofauti, kuna haja ya kufanya mambo kadhaa.
Kwanza ni kuweka sera ya pamoja ya ulinzi ili...
Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni:
Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P, S-300PS na S-300PT. Hizi zote zinaweza kurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ktk kulilinda anga...
Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia ikiwemo ulinzi na uchumi.
Tuache kuimba mapambio bali tujikite kwenye kuandaa mipango ya muda mrefu...
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.”
Nape ametoa...
Hii silaha hakuna mtu ataigundua kirahisi mpaka utakapoichomoa mwenyewe kutoka kwenye Podo yake.
ni rahisi kutumia.
rahisi kutoa kwenye pocket.
rhisi kubeba.
Ipo Jijini Mwanza.
Hio ndefu inauzwa 85,000
Fupi hio inauzwa 60,000
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo ametoa msamaha kwa vijana 853 kati ya 854 (mmoja alifariki) waliofukuzwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Aprili 2021 kwa makosa ya kinidhamu.
Jenerali Mabeyo ameagiza vijana hao warejeshwe katika kambi za JKT tayari kuanza mafunzo.
"Vijana wa...
Waziri Mkuu, Kiril Petkov amesema atamfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Stefan Yanev baada ya Kiongozi huyo kusita kuelezea uvamizi wa Urusi dhidi ya #Ukraine kama vita akisisitiza "Waziri wangu wa Ulinzi hawezi kutumia neno operesheni badala ya vita".
Imeelezwa, Serikali ya Mseto itafanya mkutano...
Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa.
‘Wenyewe’ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi.
Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza kukijadili kutokana na kile tunachokiona.
Akiwa huko nje ya nchi, ulinzi wake huwa ni wa kawaida sana. Hawa...
Nimepita katika hospitali kadhaa katika pilika zangu za utafutaji rizki. Nimeona katika mageti mengi ya hospitali za wilaya, mikoa, hasa zile za rufaa za mikoa, vituo vya afya pia, kunakuwa na maaskari ama wawili ama mmoja magetini ambaye yeye kazi yake ni kuuliza unayo barakoa? Wengi wao...
Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka
Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
Kwa muda mrefu sana tumeona Wizara ya mambo ndani ikikumbwa na changamoto nyingi sana. Hasa kwa vyombo vya ulinzi vilivyoko wizarani hapa. Police, magereza, uhamiaji, na fire.
Binafsi nilikuwa naona ili kuweka mambo sawa vyombo hivi vipelekwe Wizara ya Ulinzi ili kuvipa nguvu na kuweka Nidhamu...