ulinzi

  1. D

    Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
  2. E

    Bonyokwa Dar - Mwenyekiti wetu wa mtaa hataki kuanzisha ulinzi shirikishi wananchi hatuna lu kumfanya

    Tumepiga kelele weee kwa kutizama yanayotukia mitaa mingine ya dar, tukimsihi mwenyekiti kuanzisha ulinzi shirikishi mtaani kwa wasio na mda wa kulinda kuchangia na wasiopenda kuchangia kupangiwa zamu za kulinda wenyewe wala mwenyekiti hana habari. Tunaomba viongozi watusaidie kinga ni bora...
  3. D

    Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  4. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena afungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi, wajadili Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Waziri wa Ulinzi na...
  5. Narumu newz

    Bajeti ya wizara ya ulinzi ,Marekani mwaka 2022 ni dola bilion 700 sawa na trilion zaid ya 1400 ,why anamsaidia ukrain trilion 2

    Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda , Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada. Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana...
  6. BigTall

    Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena akutana na wanajeshi wastaafu wa JWTZ

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amekutana na kuzungumza na Wanajeshi wastaafu kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kawe Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili na kuangalia namna ya kuzitatua. Mkutano huo uliratibiwa na Mbunge...
  7. The Sheriff

    Tunaishi Katika Zama Ambazo Ulinzi wa Kidigitali ni Hitaji Muhimu Sana kwa Kila Taasisi

    Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi. Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
  8. BigTall

    JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  9. beth

    Rais Samia: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ikamilishwe

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
  10. B

    Kwanini Ratiba ya Rais ndani ya nchi ni Ratiba ya wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama? Kwanini akiwa nje ya nchi yupo mwenyewe?

    Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama ambao naamini Kila mmoja anakwenda na timu ya Watu wasiopungua kumi. Watu Hawa...
  11. Suzy Elias

    Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

    Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao. Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa...
  12. kajekudya

    Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  13. Kichuguu

    Mkataba wa Ulinzi Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mkataba kama wa NATO hufanya nchi wanachama wajione wamoja na huwa hawawezi kukwaruzana kijeshi. Kwa vile Jumuia ya Afrika ya Mashariki imepanuka na kuwa kubwa sana ikiwa na nchi zenye itikadi tofauti tofauti, kuna haja ya kufanya mambo kadhaa. Kwanza ni kuweka sera ya pamoja ya ulinzi ili...
  14. S

    Uchambuzi: Je, ni kweli kuwa mifumo ya ulinzi wa anga la Ukraine bado inafanya kazi?

    Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni: Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P, S-300PS na S-300PT. Hizi zote zinaweza kurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ktk kulilinda anga...
  15. funaku

    Ni muda muafaka wa kuachana na sifa za ujenzi wa madarasa na badala yake tujikite kwenye teknolojia za ulinzi wa Taifa

    Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia ikiwemo ulinzi na uchumi. Tuache kuimba mapambio bali tujikite kwenye kuandaa mipango ya muda mrefu...
  16. Idugunde

    Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  17. MoseKing

    Kutana na Ulinzi hatari wa Grand P huko Guinea

    👇👇👇
  18. The Sheriff

    Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  19. Nyuki Mdogo

    Jipatie Secret Army Sword kwa ULINZI wako

    Hii silaha hakuna mtu ataigundua kirahisi mpaka utakapoichomoa mwenyewe kutoka kwenye Podo yake. ni rahisi kutumia. rahisi kutoa kwenye pocket. rhisi kubeba. Ipo Jijini Mwanza. Hio ndefu inauzwa 85,000 Fupi hio inauzwa 60,000
  20. John Haramba

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo ametoa msamaha kwa vijana 853 kati ya 854 (mmoja alifariki) waliofukuzwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Aprili 2021 kwa makosa ya kinidhamu. Jenerali Mabeyo ameagiza vijana hao warejeshwe katika kambi za JKT tayari kuanza mafunzo. "Vijana wa...
Back
Top Bottom