ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC02 Ulimwengu wa Kidigitali, Nyuma ya pazi la Wizi wa Kimtandao na uuzaji wa DATA

    Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano, hii ni mbinu mpya ya kuwaibiwa watu kwa njia ya mtandao huku mwizi huyo akiwa amejificha nyuma ya...
  2. Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

    Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi. Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake...
  3. P

    Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  4. Ulimwengu then- Magufuli fights against Corruption , Inefficiency and lack of accountability!

    Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is pulling the strings hapa Tanzania, jisomee mwenyewe hapo chini, Ulimwengu wa wakati Magufuli...
  5. Naomba mnijuze juu ya terminology zifuatazo katika ulimwengu wa siri kijasusi,kisiasa na kiimani

    Wakuu nimekutana sana hayo maneno katika usomaji wangu wa nyuzi mbalimbali za kijasusi hapa Kwenye kampuni yetu na nimekua nahangaika ku crack hizi code leo nikasema nisife na tai shingoni najua kuuliza ni ujinga acha leo nitoke kwenye huu ujinga japo naweza kupata nuru kwenu wana jamvi...
  6. Ulimwengu; Ni Kila kitu kilichopo, kilichowahi kuwepo, Na kitakachowahi kuwepo

    Jana, kuna mtoto wa form 2 aliniuliza ''Nini maana ya ulimwengu?" Mimi Nikamjibu, "Ulimwengu, Ni Kila kitu kilichopo sasaivi (wewe hapo,vitu vyako vyote, watu wako wote wa karibu,watu wote wa Mbali, Kabila zote, Rangi zote, Wanyama wote, mimea yote, viumbe vyote, majengo yote,magari...
  7. Wanaojali, na wakarimu bado wapo kwenye ulimwengu huu uliojaa wenye chuki, na wabinafsi

    Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
  8. Maroboti ya kielektroniki 'misukule ya kielektroniki' ndo future ya kutawala ulimwengu wa dijitali

    Lugha hutoa fursa nyingi sana za utumiaji wa vipawa vyetu kama binadamu... Lugha huakisi akili wa yaliyomo katika bongo, fikra na hisia zetu kama biandamu... Badala ya kila mara kuweka mawazo yetu katika maneno yetu wenyewe, mara nyingi sisi huwasilisha hisia zetu kupitia maneno ya wengine...
  9. L

    Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani: Kuchunguza ulimwengu ni ndoto ya wanadamu wote

    Leo Aprili 12 ni Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani au kwa jina lingine ni Siku ya Kimataifa ya Binadamu Kwenda Angani. Kutoka "mazungumzo kati ya mbingu na dunia" na wanaanga wanaotekeleza majukumu kwenye anga za juu, kujibu barua za wanasayansi wazee walioshiriki katika operesheni ya...
  10. Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

    Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu. Generali apewe ulinzi Tazama Video
  11. TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  12. T

    Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

    Ahlan wa Sahlan Katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na habari zinazotrend zinazomuhusu mwanamuziki Harmonize aka Bakhresa kuwa anapigana juu chini ili aweze kurudiana na muigizaji Kajala. Kwa haraka haraka mtu anaweza kusema kuwa Harmonize anatafuta kiki ili atrend mitandaoni ila kwa jicho la...
  13. S

    Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

    Habari wadau, Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa. Wakati nikiwa nimejilaza kwenye benchi(nimetoka shift ya usiku), nikiwaza mambo mbalimbali, likanijia wazo la kesi ya Mbowe na...
  14. Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Mungu wa Israel, Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai. Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu...
  15. B

    Jarida la Inside the Nation lamtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi na kufanikiwa kuokoa fedha nyingi sana...
  16. B

    Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  17. Mathematics inaweza kutufunulia kuhusu siri za ulimwengu kweli...??

    Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..? Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi tunaweza kutambua siri kadhaa za ulimwengu!!. Inamaanisha hesabu ni lugha ya ulimwengu so ni vile tu...
  18. Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

    Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi? =========================== Update: 14/01/2024 https://www.nationalgeographic.com/science/article/what-is-the-multiverse
  19. Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

    Nawasalimu wote. Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho. Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting. UTANGULIZI Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…