Hodi kwenye Ulimwengu wa Mahaba. Ninaachana na jukwaa la Siasa kwa muda

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa kujua kama na wengine mmeshakutana na hili.

Mara zote nikiwa na miadi na mwanamke mpya huwa siwezi kufanya lolote la maana. Yaaani inakuwa ni pilika tu zisizo na maana.

Leo sasa nikawa na miadi na mali mpya. Ikaniambia tuonane mapema alfajiri, ikaniambia nisubiri kidogo inapita kazini. Mi nipo tu, nimekutana nayo saa sita, muda huu ndio naona akili imerudi sasa baada ya kazi. Na kazi zote nilizo ziahirisha zinaenda spidi, mwili na akili vimetulia.
 
Kwa akili hizi za kuwaza ngono asubuhi ni halali kuwapa bandari Waarabu.
 
Back
Top Bottom