ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Academic Teacher

    Sheria 12 zinazotawala ulimwengu tunaoishi

    Sheria 12 za Jumla: Jinsi ya Kuzitumia. Sheria 12 za Ulimwengu ni zipi? Sheria 12 za ulimwengu wote ni maelezo yasiyopingika ya jinsi mambo yanavyofanya kazi katika hali halisi ya anga ya saa. Sheria hizi haziwezi kuundwa au kuharibiwa. Wanaelezea tu jinsi mambo yalivyo. Sheria 12 za Ulimwengu...
  2. Legend46

    SoC03 Elimu hubadili hadhi ya ulimwengu

    Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama vile:- WAKATI WA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI Kila kitu kinaanzia hapa ambapo kijana anaanza safari ya...
  3. Surya

    Uthibitisho wa uwepo wa roho na ulimwengu wa roho ni ndoto

    Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida. Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
  4. Mshana Jr

    Kuna ulimwengu usioonekana?

    Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili. Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia...
  5. Mzee wa Kosmos

    SoC03 Sehemu tajiri kuliko zote ulimwenguni, taifa tajiri la Tanzania 2050

    UTANGULIZI Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
  6. Richard

    Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu. Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters". Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
  7. Kabende Msakila

    Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

    Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao. Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
  8. Pascal Mayalla

    Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

    Wanabodi Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya kabisa ya habari inayoitwa MB (Media Brains), inayoundwa na Manguli wabobezi na wabobevu wa habari nchini...
  9. Mwl.RCT

    SoC03 Elimu Ndiyo Silaha Yenye Nguvu Zaidi Ambayo Unaweza Kutumia Kubadilisha Ulimwengu

    ELIMU NDIYO SILAHA YENYE NGUVU ZAIDI AMBAYO UNAWEZA KUTUMIA KUBADILISHA ULIMWENGU Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Elimu imekuwa ikitajwa mara kwa mara kama silaha yenye nguvu zaidi ambayo mtu anaweza kutumia kubadilisha ulimwengu. Kichwa cha habari hiki kinaangazia umuhimu wa elimu...
  10. B

    Hodi kwenye Ulimwengu wa Mahaba. Ninaachana na jukwaa la Siasa kwa muda

    Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa kujua kama na wengine mmeshakutana na hili. Mara zote nikiwa na miadi na mwanamke mpya huwa siwezi...
  11. Zanzibar-ASP

    Mama Samia akiweza kuvuka 2025, yatakuwa maajabu mapya ya ulimwengu!

    Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Ulimwengu wa Haki Sawa 50/50 hakuna kulipa Faini ukimpa Mwanamke mimba au mtoto

    ULIMWENGU WA HAKI SAWA 50/50 HAKUNA KULIPA FAINI UKIMPA MWANAMKE MIMBA AU MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Umemzalisha mtoto wetu, lipa sijui FAINI, sijui lipa vitu gani. Sasa Sisi Watibeli tukitaka kuonyeshwa huyo Binti aliyezalishwa analetwa Mwanamke MTU mzima kabisa zaidi ya...
  13. The Supreme Conqueror

    Dhana Tata "Forbidden knowledge na Forbidden Archeology"

    "Forbidden knowledge"ni maarifa au habari ambazo haziruhusiwi kufikiwa au kutumiwa na watu fulani au kundi la watu kwa sababu za kisiasa, dini, kimaadili au kulinda siri za kibiashara. Habari hizi zinaweza kuwa hatari kwa wale wanaozitumia kwa sababu zinaweza kusababisha madhara au kuhatarisha...
  14. Donnie Charlie

    Akutwa hana hatia jaribio la mauaji baada ya miaka 33 jela

    MWANAUME mmoja huko California ambaye alikaa gerezani kwa miaka 33 kwa jaribio la kuua ametangazwa kuwa hana hatia na kuachiliwa huru baada ya kubainika kuwa hata hakuwepo eneo la tukio. Daniel Saldana, ambaye sasa ana umri wa miaka 55, alipatikana na hatia mwaka wa 1990 ya kufyatulia risasi...
  15. 5

    Sababu ya Kiongozi wa Wagner Group kuudanganya ulimwengu jana kuteka Bakhmut yatajwa

    "Kuna sababu kadhaa, kwanza wanahitaji angalau ushindi wa mbali, kwa sababu tayari wameifedhehesha dunia nzima wakati hawana uwezo wa kuchukua kituo cha mkoa kwa zaidi ya miezi 9 Cherevaty, in an interview with Ukraine's Radio NV, said there are two significant reasons why Prigozhin appears to...
  16. sky soldier

    Katika ulimwengu huu wa digitali, ni utahira kukataa kuletewa Intaneti ya kasi ya juu kwa bei nafuu ya Elon Musk

    Na wote tunashuhudia kwa jinsi internet inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya maisha yetu, Dunia ya sasa Internet ni hitaji moja wapo muhimu katika kuondoa ujinga, kurahisisha mawasiliano, kufanya tafiti, kufanya biashara, n.k. Ni muda sasa umepita ishu ya internet ya Elon Musk kuletwa bongo...
  17. J

    Je, ulipata kujua mwaka ambao Ulimwengu ulimjua rasmi Yesu kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa?

    Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius). Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika Mto Yordan na Yohana. Na kwakweli, kwakuwa Wayahudi walikuwa wakiujua unabii mwingine wa Daniel...
  18. NetMaster

    Hali ni mbaya kwenye ubunifu wa Programming kwa wahitimu wa IT Tanzania, Roughly 80% wanaishia kujua html tu.

    Wengi huwa wanaambulia html tena ile basic kabisa, wachache angalau wataongezea php, javascript, wachache sana hawa wenye passion ndio wataingia mpaka kwenye python, c#, c++, java... Hapa nazungumzia kuelewa kwa lengo la uundaji na ubunifu sio kukariri tu kwajili ya test kisha baada ya hapo vina...
  19. Izizimba

    Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hadi kufikia Mwaka 2021, idadi ya wanaume duniani ilikuwa 3,970,238,390 au milioni 3,970 au bilioni 3.97, wakiwakilisha 50.42% ya idadi ya watu ulimwenguni. Idadi ya wanawake duniani ilikadiriwa kuwa 3,904,727,342 au milioni 3,905 au bilioni 3.905, ikiwa ni 49.58% ya idadi ya watu duniani...
  20. Hemedy Jr Junior

    Fahamu haya kabla hujafa/kupoteza uhai katika ulimwengu huu wa mwili na roho

    1. Usingizi 2. Ndoto 3. Mateso 4. Ridhiki 5. Afya 6. Uhuru • Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila gafla ukashutuka na ukajikuta uko na (Afya njema kabisa🙏) ukaamka na kwenda kutafuta Ridhiki, unapata...
Back
Top Bottom