MAKALA: SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Miaka 200 iliopita yaani mwaka 1822 hakukuwa na kiwango kikubwa cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Nchi nyingi duniani hazikujua kuna jambo gani linaloendelea upande mwingine wa dunia. Kulikuwa na changamoto kubwa ya kupata tiba, usafiri, mawasiliano, nishati...