UDSM kuwa Form 10 Jibuni hoja za jenerali Ulimwengu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.

Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja.

Hapana wanasiasa wamekikandamiza hiki chuo ili kiwe kitovu ha kutoa machawa badala ya wasomi critical thinkers.
UDSM iligeuka mwiba kwa CCM

All the time utasikia wanapongeza pongeza tu. DARUSO hatuisikii tena vijana machachari wamepotea kabisa

UDSM Tokeni mujibu hoja
 
Kwa usawa huu kila MTU anatafuta jinsi ya kuongeza kibubu chake,watawala wanajua wabongo wengi njaa tu, ukiwapa fulsa ya kupiga pesa wanaweza, hata wakakana jinsia zao!
Prof Benson bana,kipindi akiwa UDSM, alikuwa anatoa mawazo ya kukosoa Sana serikali, akawaona wenzie, Kitila, kabudi wanaosifia wamelamba dume!akaanza kusifia,sasa hv ni balozi wetu nigeria, ye ye ni academician,sio diplomatic, kule kaenda kula bata tu
 
Hapo ndipo tatizo lilipoanzia
 
Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.

Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja.

Hapana wanasiasa wamekikandamiza hiki chuo ili kiwe kitovu ha kutoa machawa badala ya wasomi critical thinkers.
UDSM iligeuka mwiba kwa CCM

All the time utasikia wanapongeza pongeza tu. DARUSO hatuisikii tena vijana machachari wamepotea kabisa

UDSM Tokeni mujibu hoja
Mkuu,
Weka hiyo clip basi
 
Kujibu hoja ni lazims uwe na uwezo wa kuichambua hoja kwa kina, vinginevyo utakoleza moto.
Anguko la UDSM lilianza kuoneka wakati ule wa shindano la TOYOTA East Africa University Challenge Quiz(sic) ambapo kila mara Udsm ilikuwa ya mwisho kwenye kujibu maswali.
 
Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.

Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja.

Hapana wanasiasa wamekikandamiza hiki chuo ili kiwe kitovu ha kutoa machawa badala ya wasomi critical thinkers.
UDSM iligeuka mwiba kwa CCM

All the time utasikia wanapongeza pongeza tu. DARUSO hatuisikii tena vijana machachari wamepotea kabisa

UDSM Tokeni mujibu hoja
Chancellor wa UDSM ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM unategemea chuo kizalishe nini zaidi ya chawa na kupe
 
MLIOSOMA ZAMANI MMEFANYA NINI CHA MAA A ? MBONA UMASIKINI UPO VILE VILE NCHI INAJIKONGOJA TU ! KULUMBANA NKURUMAH NDIO UBORA WA ELIMU ?
NINI MATOKEO YA NYINYI KUWA BORA ?
KUANZIA
TEKNOLOJIA,
SIASA, NA
UCHUMI ?
NCHI IMEHARABIKA MIKONONI MWA NYINYI WASOMI WA ZAMANI HALAFU MPO KUJITAPA TAPA HAPA ETI UDSM IMESHUKA UBORA !
TABZANIA HSPA KUNA WASOMI WACHACHE KANA SHIVJI WALAU UNAWEZA TOLEA MFANO, NA HUYO SHIVJI NI MTU EXCEPTIONAL AU GIFTED.
MAJORITY YA WASOMI HAOA TZ HAMNA LOLOTE IWE WA ZAMANI AU SASA ?
MFANO MMOJA NI VITABU VINGI VITUMIKAVYO ELIMU YA JUU VIMEANDIKWA NA WAKENYA, WANAIJERIA NA WAGHANA NA KUTOKA MABARA MRNGINE.
KAMA KUNGEKUWA NA WASOMI BORA KULIKO SASA KWA NINI WAMESHINDWA KUJAZA VITABU MAKTABA ZA TANZANIA?
MUACHE UONGO UONGO NA KUJIKUZA.

MIMI NAWAPIMA KWA OUTCOME SIO KWA MIJADALA YA NKURUMAH. UKWELI NI KWAMBA MMEFELI MAMBO MENGI SANA.
MNARITHISHA
UVIVI,
WIZI,
UFISADI,
UOGA,
UMANGIMEZA,
RUSHWA,
'UNCREATIVITY' NK.
HUO USOMI WENU UPO WAPI ? TUKIWAPIMA NYINYI NA SINGAPORE , MNAWEZA KUFIKA HATA ROBO YA UWEZO WAO ?.
MMEBUNI NINI CHA KUJITAMBIA ?
HUYO ULIMWENGU AME ' ACHIEVE' NINI ?
 
Back
Top Bottom