GreenLight
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 303
- 537
Habari wakuu,
NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%.
Nikaishia kukumbuka miaka nipo mdogo kwa wazazi. Unaaga unaenda shule unasoma na kucheza na marafiki muda wa kuondoka unaondoka kurudi nyumbani kula chakula na unapokelewa kwa bashasha na wazazi wakiwepo.
Maisha furaha ya asili tunaipata mara moja au mbili