ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote hapa ?

    Hasa kuhusu wanawake na sababu ya wanaume kufa mapema ..
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

    Please uzi huu naomba ukae jukwaani angalau kwa mwaka mmoja. Vijana wanalia njaa huku wamezungukwa na vyakula, waamke wale. Hili ndilo hitimisho langu na ndio ukweli wenyewe. Najua maskini watanijia juu wakitamani kuniua kwa kuwaambia ukweli. Lengo sio kuwaumiza mioyo, lengo ni kuwaamsha...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba CCM haina Mgombea Urais 2025, ndio chanzo cha kulogana na kuchafuana

    Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika...
  4. JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani . Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya EL na kumfanya awe msafi? Je, aliletwa kwa maslahi ya Wananchi au...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

    Salam kwenu nyote, Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze kujoamini katika kazi zake na maamuzi bila kuingiliwa. Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

    Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani. Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za Watanzania.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha sijui 'Bakabaka Day' wala nini, ukweli ni kwamba tumeitwa Zanzibar na Waganga wetu ili tukaroge kwa Kufuru na Mwarabu afe 2/12/2023

    Na milichokisahau tu ni kwamba kiuchawi na kwa dua hamuwaweza waarabu hivyo mnapoteza mno muda wenu Pia labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa kama ni kufanya michezo michafu (ya nje ya uwanja) hao waarabu ndiyo walimu hivyo hamtowaweza Na msisahau kuwa hata mliowafunga kwa mtindo wa tigo...
  8. JamiiForums Tanzania Waafrika mnaibiana wenyewe. Huu ni ukweli. Wanasiasa wanafilisi nchi zao

    Siasa za weusi ni nyeusi tii Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani. Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala. Ni nani anasimama kumtetea maskini
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli hiki wanachoita eti ni tatizo la afya ya akili hakipo. Ni dhana tu au failure of thinking deeply

    Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo. 1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli kuhusu Palestina

    Fahamu ukweli kuhusu Palestina. Sheikh Stambuli Abdillahi Nassir sehemu ya kwanza: Barua inayoongelewa hapo ipo post #17. Inaendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Paul Makonda hawezi kuisafisha CCM iliyochafuka kwa ufisadi.

    Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha. Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu? Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na kuhadaa kutatua kero zao wakati wameshaumia.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  15. JamiiForums Tanzania Hii taarifa ya TAHLISO ina ukweli?

    KAMISHENI YA MIKOPO TAHLISO 06/11/2023 MASWALI YANAYOULIZWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOOMBA MKOPO, ( CONTINUING STUDENTS ) 1. Mimi ni mwaka wa pili nimeomba mkopo lakini nimeandikiwa kujiandaa na zoezi la kukata rufaa, lakini bado Batches za continuing students...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo. Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu. Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka...
  17. JamiiForums Tanzania Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    Halafu msisahau Sisi tulipowafunga wao walikuwa na Kikosi dhaifu na Mgogoro mkubwa Klabuni kwao wakimtaka aliyekuwa Kiongozi wao Lyoed Nchunga ajiuzuru. Na nakumbuka Usiku wa kuelekea Mechi hiyo Mchezaji na Rafiki yangu mkubwa tu Jerryson Tegete alinipigia Simu na kuniambia kuwa Mechi yao ya...
  18. JamiiForums Tanzania Lady Jaydee bado ana kiporo cha hili swali kuhusu Chidi Benz, naomba atuweke bayana ukweli kuhusu yeye na Child Benz nini kilitokea baina yao?

    Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy . Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  20. JamiiForums Tanzania British Lord ameongea ukweli

    Habari Jf, Leo katika pita pita zangu mitandaoni nmekutana na video moja mpaka nikashanga maana sikuwa kujua vitu vyote hivi kabla. Naona watu wanaanza kuweka wazi ukweli wao. Mda ni muhimu kujua kila kitu. https://m.youtube.com/watch?v=14si4mDQcVM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…