ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa funds au fedha ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF siyo shida ya kiungozi ndani ya mfuko

    Upungufu wa fedha za kutosha NHIF ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF , hiki ndicho husababisha Hizi sababu za kukopeshana ili kuboresha maisha ya watumishi ,ufisadi hata hizo pesa zikirudi Mfuko hauwezi kujisimamia na cha zikaisha Serikali iangalie utaaratibu wa kuongezea mfuko fedha...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Usizuge kuwa unawahi safari kwahiyo huwezi Kuongea, ukweli ni kwamba Unajishtukia kwa maajabu ya kwa Afya na Wawili uliowatoa kwa Kushauriwa vibaya

    Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
  3. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii video ina ukweli?

    Baada ya Rais wa zamani na mgombea urais kwa tiketi ya Republic bwana Trump kukoswa koswa na risasi kuna video nyingine nimeiona akipigwa kofi akihutubia. Nimepita kwenye baadhi ya mitandao sijaona hilo tukio. Hili tukio ni la kweli na kama ni la kweli, lilitokea lini? Video husika Picha ya...
  4. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu. Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkoa huu wa Mtwara hapa niwaambieni tu Ukweli Serikali kuwa mnapoteza muda wenu

    Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Masasi mkoani Mtwara wamelazimika kuweka sahihi za kuingia mikataba ya kuhakikisha vijana wao wanafanya vizuri kwenye mitihani yao. Lengo la mikataba hiyo ni kuwabaini baadhi ya wazazi wanaowarubuni watoto wao kutofanya vizuri, kwa madai ya kushindwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba inahitaji msaada wa kuambiwa ukweli, wataacha 5 dirisha dogo

    Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris kuchaguliwa Rais wa 47 wa America, ni ukweli usiopingika kwa sasa

    Wamarekani walishuhudia kasi aliyokuwa nayo Trump ya kushinda Urais, wakati mgombea wa Democrat alipokuwa Joseph Robinette Biden Jr. Kuingia kwa Kamala Harris kumebadili kabisa mwelekeo; hasa ukizingatia kuwa Trump alikuwa anakazia udhaifu binafsi wa Biden kutokana na umri, na akajisahau...
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe kesho Simba SC hamtoki salama

    Gamondi mjanja Sana.. ramani ya vita imefichwa kesho tarehe 8 mtu atakuja kwa matumaini.. akutane na kitu chenye ncha Kali mpaka mapepo yamtoke Yellow national 💚💛💛💛 Cc ephen_
  11. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

    Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  13. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli?

    1. Wanawake wanavutiwa na wanaume walio na aina mbalimbali za tabia za kiume, si tu mwonekano wa kimwili, na kuelewa na kuonyesha sifa hizi kunaweza kuchochea mvuto wa wanawake kwako mara moja. 2. Wanaume wengi wanakabiliwa na udhaifu wa kihisia, ambayo inasababisha ukosefu wa udhibiti wa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Semeni mtakavyosema, ila ukweli ni kwamba SGR bila Nguvu ya Hayati Magufuli na Uthubutu wake leo tusingeifurahia tusimbeze hata kama Kalala mazima

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya...
  15. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaokufanya uwe na nguvu

    . Kukataa kujilinganisha na watu Wengine hukufanya uwe na nguvu.... 2. Kukubali udhaifu wako, hukufanya uwe na nguvu zaidi .. 3. Kukabiliana na changamoto zako uso kwa uso, hukufanya uwe na nguvu zaidi... 4. Kujipa fursa ya kuanza upya Baada ya kushindwa, hukufanya uwe na nguvu zaidi ... 5...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Karma is Real!, Kutumbuliwa ni Karma za Matendo Yako!. Ukitumbuliwa Kwa kosa la Kuusema Ukweli, ni Uonevu!, Rejoice!, Karma Itakufidia na Kukulipia!

    Wanabodi Mimi ni mwalimu wa somo linaloitwa karma humu jukwaani. Karma ni kuhukumiwa kwa mawazo yako, maneno yako na matendo yako, wazungu wanasema, what goes around, comes around. Nashauri kama huijui karma, anza bandiko hili kwa kujifunza kuhusu karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu...
  17. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

    Asalaam ndugu zangu!!! Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda...
  18. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutofautisha Ukweli na Maoni

    Nianze na mfano huu, kuna mtu alikuwa ana umri wa miaka 40's, alikuwa na biashara bahati mbaya ikafa, kwa kupaniki akasema "hakika sasa nitaishi maisha ya shida na familia yangu, na ukiangalia umri umeenda" Mtu huyu tayar alishaona hana maisha na akaona anguko lake, lakini kiuhalisia ukweli sio...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wasifu wanao weka wengi kwenye tovuti ya bunge na serikali hakuna ukweli

    Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani. mmoja mbunge X kuna chuo kaweka alichosoma ukitafuta sehemu zote unaona ni kiwanda cha kutengeneza dawa za mifugo. Hii nchi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mh. Nape Mosses amechagua kusema ukweli

    Mh.Nape M. Nauya amechagua kuwa mkweli kuwa kipindi chote huwa wanafanya hivyo apongezwe Kwa ujasiri wake wa kutoa silaa za kivita hadharani .
Back
Top Bottom