ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Theofrey Theofrey

    Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  2. D

    Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga. Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote. yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern...
  3. Mayu

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Swali la MSINGI; IN THE FIRST PLACE, KWANINI UNAAMINI KATIKA DINI UNAYOIAMINI? Kabla hujaendelea kusoma be honest with yourself na ujijibu🙏 Ok tuendelee. Kila mtu kwa mujibu wa imani yake amekua akijenga HOJA NZITO kueleza “UKWELI” na u HALALI wa Mungu wake huku akinukuu maandiko ya dini...
  4. I

    Ujue ukweli kuhusu kitita kipya cha huduma cha NHIF

    Kitita ni orodha ya huduma na bei zake ambazo NHIF huingia mkataba na Hospitali kuwahudumia wanachama wake. Hakuna ongezeko la gharama za michango ya wanachama. Hakuna kuchangia gharama za matibabu (top up) kwa huduma zinazolipiwa na NHIF Wanachama wanaotumia dawa za pressure na sukari sasa...
  5. tpaul

    Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

    Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo. Kigezo kimoja tu kinachotumiwa kuwapinga AFTHA ni kukosa ubinadam....kwamba walipaswa kutoa notice ya siku...
  6. S

    Dotto Biteko aambiwe ukweli. Kuzuia likizo za wafanyakazi wa TANESCO ni ukiukwaji wa sheria, na hakuleti umeme

    Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
  7. Immortal Techniques

    Watanzania wanahitaji kujua ukweli kuhusu NHIF

    Ni vyema Serikali ije na ukweli kuhusu NHIF na siyo maneno tu Shirika limezidiwa, 1. Wanachama mpka sasa ni wangapi? 2. Michango ya NHIF inayokatwa Kwa waajiriawa na waajiri inapelekwa Kila mwezi bila kukosa? Hii ni Kwa Government/Private sectors. 3. Ni kiasi Gani Kwa Mwezi NHIF inakusanya...
  8. Zanzibar-ASP

    Tuseme ukweli! Jaribio la treni ya SGR lilishindwa kufikia lengo

    Siku ya jana, tarehe 26/2/2024, shirika la reli hapa Tanzania (TRC) lilifanya jaribio la kwanza la treni ya kisasa, umeme na mwendokasi (SGR), na miongoni ya malengo (matarajio ya watu?) ya msingi yalikuwa ni haya; 1. Mwendokasi (muda wa kusafiri uwe mchache huku umbali uwe mrefu). 2. Nishati...
  9. G

    Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

    Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN. Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
  10. S

    Kwetu Yanga 'head to head' ni akiba tu, tunaenda robo fainali tukiwa vinara wa kundi

    Naam, hakuchi, hakuchi kumekucha.. Siku nyingine tena tumeamka tukiwa na furaha, baada ya mbugi kali baina yetu sisi mabingwa wa kutandaza soka la kisasa na la viwango hapa TZ na waarabu wa Aljeria kisha kuibuka na ushindi mnono uliotuhakikishia kuingia robo fainali ya kombe la klabu bingwa...
  11. Brain Kingdom

    Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu 🙏🙏🙏 Wadiz
  12. S

    Niseme ukweli, yanga sc mmeniudhi sana leo..!!!

    Hello Mashabiki wa Yanga, popote pale mulipo, kunjeni ngumi, pigeni kifuani kisha hewani huku mkitamka 'Wananchiiiiii...!!!' Ahsante sana, mmeliheshimisha Taifa. Yap.. kwa kila mwanayanga leo ni siku kubwa mno, siku ya kufurahi.. Aliyekutenda, na wewe mtende! Yanga kamtenda zaidi CR...
  13. S

    Tuseme ukweli kwa CHADEMA hawana awezae kuwa Rais wa Tanzania

    Nani nauliza tu, ni nani anaweza kuwa Rais na Watanzania wakawa hawana wasiwasi nae! Niwaonavyo viongozi wa CHADEMA nyuma ya pazia ni wabinafsi. Ukweli wana ueledi wa kufoka ila ukikusanya matendo yao ni magoigoi wanaoweza kukimbia nchi ikiwa wananchi wataamua kuandamana na hawa sifa za...
  14. Lycaon pictus

    Misso Missondo ndiye Dj pekee wa ukweli Tanzania

    Siku zote nawaonaga maDj wa bongo miyeyusho na tofauti sana na madj wa wenzetu. MaDj wa wenzetu huko mbele hutoa album, humix beats na kufanya kolabo na wanamuziki mbalimbali. Mdj wetu wengi (kama siyo wote) kazi yao kubwa ni kupiga playlist. Udj wa kimchongo mchongo. Kaja huyu bwana Mdogo Misso...
  15. JamiiCheck

    Unatumia mbinu gani kujua ukweli wa taarifa unazokutana nazo mtandaoni?

    Kukua kwa utandawazi kumepelekea wimbi la uzwalishwa wa taarifa potofu kuongezeka zaidi licha ya kuwepo tangu awali. Katika kukabiliana na wimbi hili zipo njia mbalimbali ikiwemo kuhakiki chanzo cha taarifa na kuuliza kwenye jukwaa la uhakiki kama hili la JamamiiCheck. Huwa unatumia mbinu gani...
  16. Nyankurungu2020

    Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

    Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko. Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20. Mahindra tech? Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme. Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
  17. Suley2019

    Yanayojiri katika mahojiano ya Tundu Lissu Star TV leo Februari 16, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka: TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI DPP...
  18. G

    Tuambiane ukweli jamani. Hivi maisha ya ujane au ugane yana uzoefu kweli?

    Ni rahisi kuwaona wahusika wakiwa na maisha ya kawaida lakini ni ngumu kujua wanayopitia. - Upweke - Ugumu wa ndoa mpya hasa kwa umri mkubwa - Kumbukumbu/ memories zinazotonesha kidonda
  19. Chizi Maarifa

    Je Watu wameacha kumwogopa Kikwete? Wameamua tu waseme ukweli?

    Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama. Tofauti ya Kikwete na Magufuli. Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe. Ni aina ya watu wanafiki, wachawi na wakuda sana. Ukimsoma sana au ukiuliza sana habari zake...
  20. GENTAMYCINE

    Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
Back
Top Bottom