ukubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

    Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu. Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo. Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika...
  2. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili Flash yenye ukubwa wa 64 GB iweze kusoma kwenye Flat TV tena (Hisense Smart TV)?

    Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
  3. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate. Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mastaa 10 ambao hawajahi kushinda Tuzo ya GRAMMY licha ya ukubwa wao

    Licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo ya GRAMMY mara 10, Nicki Minaj hajawahi kupata tuzo hiyo, Snoop Dogg ameteuliwa mara 20, Katy Perry (13), Jennifer Lopez (2), Busta Rhymes (12) na Miley Cyrus (2). Wengine ambao tayari wameshafariki ni pamoja na Tupac, aliwahi kuteuliwa mara 6 na hakushinda, Bob...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kusudio la kuuza kiwanja chenye ukubwa 1.48 hectres = sqm2 14,800 Dodoma eneo la Mwangaza

    Ndugu wana JF habari ya majukumu? Napenda kutoa taarifa juu ya kusudio la kuuza kiwanja namba 10 D-centre Mwangaza lililopo Dodoma mara tu baada ya kukamilisha upatikanaji wa Hati ya eneo hilo ifikapo mwakani mwezi Januari au Februari kwakuwa eneo lilikuwa limetwaliwa na wenye nguvu almaarufu...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuna Mungu anayebariki kulingana na ukubwa wa sadaka ya mtu?

    Hellow guys, Mimi nataomba kujua kuna Mungu ambaye ana bariki kulingana na sadaka yako ulio toa yaani kama umetoa kanisani 1000 unabarikiwa kidogo lakini kama umetoa 7000 unabarikiwa zaidi ya yule alie toa kidogo Kuna kanisa moja niliendaga ni maarufu sana hapa DSM nikasikia mchungaji anatoa...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kufungwa na Ihefu, Yanga imeonesha ukubwa wake

    Timu kubwa Duniani huwa zinapoteza mechi kwa kufungwa na timu ndogo na dhaifu kwenye mashindano. Yanga imefunga au kutoka sare na timu zote imara kwenye ligi na kupoteza mechi kwa timu iliyoko mkiani mwa ligi. Hii imetokea kwa timu kubwa kama Ujerumani na Argentina kufungwa na timu ndogo kwenye...
  8. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa CAF Confederation Cup

    Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup. ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup. Ukisikia sijui Simba timu ya kwanza kutumia VAR mechi na Orlando, hiyo mechi ni CAF Confederation Cup. Mwaka huu Yanga imefanikiwa...
  9. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tohara hupunguza ukubwa wa sehemu za siri za mwanamme

    Wataalamu wa afya huelezea umuhimu na faida za kufanyika kwa tendo hili kwa wanaume. Baadhi ya sehemu wanaume huwa hawatahiriwi kabisa, na wengine wanaotahiri husubiri hadi mtoto afikishe walau miaka 12 ndipo afanyiwe tendo hilo kwa uoga wa kupunguza ukubwa wa viungo hivyo. Madai haya...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Nghonghona, Dodoma

    Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5 Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650 Kimewekewa beacon kabisa, very potential plot. Nyaraka zote zipo.
  11. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

    Aisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena. Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana toto na sikuwa najali kitu, pesa iliongea na ikanipa kiburi. Huyu mrembo alikuwa ni afisa mikopo...
  13. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  14. Gama

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ukubwa wa jeshi hakutaongeza mafanikio katika vita ya Ukraine

    Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine. Hii ni kutokana na kuwa Rusia imekuwa ikipoteza wanajeshi kwa wingi. Kwasasa Rusia anataka...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Karibuni tupunguze ukubwa wa Serikali

    Habari wandugu. Kwa sasa na maisha na uchumi wa dunia ni mgumu sana. Kila mtu anatakiwa kujibana. Hivyo na Serikali nayo inatakiwa kujibana. Ili kupunguza matumizi, inahitajika ukubwa wa serikali nao upungue. Leta maoni juu ya namna ya kupunguza ukubwa wa serikali. Mimi maoni yangu. 1. Cheo...
  16. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Ukubwa na udogo wa mishahara ni sababu ya rushwa

    Watu wengi tumekuwa tukiamini udogo wa mishahara ni moja ya chanzo au Sababu kubwa ya rushwa Jambo hili halihitaji akili kubwa kulielewa wewe vuta picha tu maisha ya leo alafu unakuta mtu analipwa laki tatu au nne mpka saba jumlisha ana watoto na mahitaji ya kila siku hapo ukikutana na mtu...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu janja / Smartphone kuendelea kuwa saizi kubwa kiganjani kuzidi za zamani, hii ni kero kwangu tu au?

    Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada. Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh. hizi mpya yani kawaida kukuta...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kadhihirisha ukubwa wake, nani anabisha?

    Nasemaje!! yatakuja majitu yenye roho mbaya hapa na kubisha, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndugu zangu. Hyu kiumbe kadhihirisha kwamba yeye ni noooma sana nchi hii kauli zake kama sumaku , jamaa ni PIED PIPER fulani hivi Mechi za Burundi vs cameroon ambayo alipewa kazi maalumu ya kujaza...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuona ukubwa COVID-19 uko wapi

    Kulingana na data za worldmeter, nimeshindwa kupata ukubwa wa corona virus kiasi cha kwamba dunia nzima imetishika sana na wanasiasa kulibeba kama ajenda yao ya kisiasa, japo inaua lakini je... Nisaidieni kupiga mahesabu kuona ukubwa wa ugonjwa huu kwa kutumia epidemiological facts Total...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Manchester United mbele ya Klabu kama Liverpool, Arsenal, Manchester City na Chelsea

    Tumeona wiki zilizopita kuwa baada ya Manchester United kushindwa kufuzu Ulaya ndipo UEFA ikakaa chini ibuni mbinu hata kama ya kijanjajanja ili mradi Man Utd wafuzu Na nyie mmeona Man Utd kapewa nafasi ya kufuzu eti kutokana na historia yake, sasa anahistoria gani Man Utd? Kwani Aston Villa...
Back
Top Bottom