ukubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gnyaisa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umewahi kujiuliza Ubongo wa binadamu una ukubwa wa GIGABYTES (GB) ngapi? Fuatilia

    Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo ikiwa ni pamoja na kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. Amejaliwa uwezo wa kubadili changamoto yoyote iliyo mbele yake kuwa fursa yenye kumletea furaha, faida na maendeleo katika maisha yake. Mtaalamu wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Salamu Wakuu, Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5? Nimechoka luku. Naomba kufahamishwa tafadhali
  3. Page 94

    JamiiForums Tanzania Waandaji wa ASFC: Uchaguzi wa Uwanja wa kucheza uwe kwa kuzingatia Ubora na Ukubwa

    Kwanza nawapongeza kamati mahususi kwa ajili ya Uandaaji wa Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Federation Cup. Hakika kila mwaka kuna maendeleo kadri ambavyo linazidi kusonga mbele. Hakika mnazidi kufanya soka la Tanzania lizidi kupiga hatua mkishirikiana na TFF. Lakini pamoja na jitihada...
  4. B

    JamiiForums Tanzania COVID-19 na ukubwa wa tozo zilizopitishwa Bungeni haviendani, uzalishaji umeshuka

    Unapokabiliwa na ugonjwa Kama covid 19 unawafanya wananchi wako wengi kutumia muda wao kwenye mambo yafuatayo; 1. Kuhudumia wagonjwa, Kuchukua taadhari za afya ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa waliopo kwenye majukumu yanayohitaji kukutana na watu wengi, Kutumia muda mwingi kwenye nyumba za...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Hoja sio ukubwa wa tozo bali matumizi sahihi

    Kuna mdau amenihoji nini msimamo wangu kuhusu hizi tozo au tuseme sakata la Tozo. Nitamjibu bila unafiki... Mimi ni muumini wa nchi kujitegemea na kujiendesha kikamilifu kwani hiyo ndio maana kamili ya uhuru. Haiwezekani kwa miaka yote hiyo tangu uhuru tuendelee...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kujua ukubwa wa tatizo kutasaidia kuliponya; kundi la wanasiasa liliumizwa sana

    Nianze hapo. Kumeibuka taswira halisi na Kali baada ya kugusia Katiba Mpya na mikutano ya siasa. Ni kama imeficha mema yote uliyofanya Kwa Siku 100 ulizokaa madarakani. Sifa zote ulizopata zimefichwa. Mama yetu mpendwa hio ndio taswira ya ukubwa wa tatizo lililopo. Watakuja makada na washauri...
Back
Top Bottom