#COVID19 Uongo kuwa ukweli: Corona yenye ukubwa wa 0.1micrometer, tumeaminishwa kitazuiwa kupita kwenye barakoa yenye kitundu cha 5-100 micrometer

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Watu husema kuwa uongo ukisemwa mara nyingi watu huanza kuamini huo uongo kama ukweli!! Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati mawakala wa corona wakitaka kupiga pesa kupitia biashara ya barakoa walipouaminisha ulimwengu kuwa, kuvaa barakoa kutamlinda mvaaji na maambukizi ya corona!

Cha ajabu hata madaktari nao wakaamini wengine!! Hebu fikiria: kirusi cha corona kina ukubwa wa 0.1micrometer kitazuiwa na barakoa ambayo ina vitundu vyenye ukubwa wa 5 hadi 100micrometers (milimita moja ni sawa na mirometers 1000) kutegemea na aina ya barakoa.

JPM aliwakera sana aliposema kama ni barakoa basi kila mtu ajishonee ya kwake, maana alivuruga lango la watu kupiga pesa kwa kuagiza barakoa toka kwao!! Kusema ukweli virusi zaidi ya kumi vinaweza kupita kwa pamoja kwenye kitundu kimoja cha barakoa bila shida yoyote!

Ndiyo maana wavaaji maarufu wa barakoa walikuwa wanaambukizwa tu!
 
Back
Top Bottom