Ukubwa wa Manchester United mbele ya Klabu kama Liverpool, Arsenal, Manchester City na Chelsea

Driz memes

Member
Apr 4, 2022
11
20
Tumeona wiki zilizopita kuwa baada ya Manchester United kushindwa kufuzu Ulaya ndipo UEFA ikakaa chini ibuni mbinu hata kama ya kijanjajanja ili mradi Man Utd wafuzu

Na nyie mmeona Man Utd kapewa nafasi ya kufuzu eti kutokana na historia yake, sasa anahistoria gani Man Utd? Kwani Aston Villa hana historia?

hii inaonesha man u ni timu kubwa sana kuliko zote duniani
 
Duniani Bara la Asia ndilo lenye watu Wengi Sasa takwimu zinaonyesha ilo ndilo eneo Man utd Ina mashabiki wengi na biashara kubwa anafanya uko. Mpira ni biashara yenye fedha nyingi maana unahusisha kamali na mambo mengine ya hovyo na mtaji wa mpira ni mashabiki wanao nunua bidhaa.
 
Back
Top Bottom