ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Polisi (TPF-NET) Arusha yawaonya Jamii za Kifugaji zinazoendelea na Ukatili kwa Watoto na Wanawake

    Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha kuelekea Siku 16 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa jamii za kifugaji kata ya Lengijave wilaya ya Arumeru Mkao wa Arusha na kuwaonya baadhi ya wananchi wa jamii ya kifugaji...
  2. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanaume 142 Iringa wakimbilia Polisi kisa kufanyiwa ukatili katika ndoa

    Idadi ya wanaume 142 Mkoani Iringa wamefika Polisi kati ya mwaka 2020 hadi 2023 kulalamika kufanyiwa vitendo vya Ukatili kwenye Ndoa. Mbali ya idadi hiyo ila inaelezea kuwepo kwa idadi Kubwa zaidi ya wanaume ambao wanapigwa ama kufanyiwa Ukatili na wanawake kwenye Ndoa ila wamekuwa wakiona aibu...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi: Wanawake 349 Iringa wafanyiwa ukatili wa kijinsia kwa kipindi cha Januari hadi Oktoba, 2023

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii na Dawati la Jinsia na watoto limeandaa shughuli mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utelekezaji wa kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia yenye kauli mbiu isemyo "Wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia". Akizungumza na Askari wa kike...
  4. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili?

    Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!?? Ni ukatili wa aina gani ambao bado haujawahi kufanywa na CCM dhidi ya watanzania? Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!
  5. JamiiForums Tanzania Ukatili wa Kijinsia kwa watoto Kanisani: Tupinge kuita watoto wachawi mbele ya kanisa na kuwarekodi kwente tv na redio

    Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi. Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana. Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
  6. JamiiForums Tanzania Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally. HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa. Hashimu Ally anadai, Pauline...
  8. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR 9 Juni 2023Haki za binadamu Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha...
  9. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mashauri ya ukatili wa Watoto na Wanawake yaendeshwe ndani ya miezi miwili

    Katika kuadhimisha ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo inaadhimishwa Oktoba 11 kila Mwaka, Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kusimamia kupunguzwa kwa muda wa kuendesha mashauri ya ukatili dhidi ya Watoto na Wanawake. Chama hicho kupitia taarifa yao iliyotolewa na Janeth Joel Rithe...
  10. JamiiForums Tanzania Janeth Rithe: Siku ya Mtoto wa Kike, Ukatili kwa Wasichana ni Kikwazo

    Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
  11. JamiiForums Tanzania Ukatili ni tokeo la udhaifu fulani ndani ya mtu

    Hello bosses and roses.... Hivi umeshagundua kuwa watu wakatili ni watu ambao wana udhaifu (weaknesses) fulani ambazo hawataki kuzikubali na hivyo kutaka kutumia ukatili kujidanganya (kutengeneza illusion) kwamba wana nguvu au wana control na hali yao kumbe sio. Wengi utakuta aidha ni mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo wa Mwanamke Shujaa Yafanya Kongamano na Kuiasa Jamii Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    TAASISI YA "MOYO WA MWANAMKE SHUJAA" YAFANYA KONGAMANO NA KUIASA JAMII KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA TAASISI ya Moyo wa Mwanamke Shujaa yenye Makao yake Makuu Manispaa ya Morogoro chini ya Mkurugenzi wake, Dkt. Magreth Kongera, imefanya Kongamano la maombi na uzinduzi wa kampeni ya kupinga...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi peleka jicho lako hapa: Watoto wa kiume na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wasichana wa kazi

    Wakuu, Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao. Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti

    Jeshi la Polisi limeona video hii fupi (clip) ikimwonesha Mtoto aliyefanyiwa vitendo vya ukatili na udhalilishaji na limeanza kuifanyia kazi kuanzia ilipoanza kusambaa ili aliyefanya kitendo hicho cha kinyama kisichokubalika aweze kukamatwa na hatua zingine za kisheria ziweze kufuata. Mtoto...
  15. JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wamasai wamueleza Lissu namna wanavyofanyiwa ukatili wa kutisha na Serikali

    Wamemueleza kuwa: 1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya 2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke 3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kamati za Kupinga Ukatili Zanzibar zashauri Elimu ya Ndoa Ianze kutolewa kwenye taasisi za Elimu kupunguza Talaka

    ZANZIBAR KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wameeleza...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi yapewa mafunzo ya kupambana na Ukatili wa Kijinsia

    Kituo cha Utafiti cha Jeshi la Polisi kilichopo Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam kwa kushirikina na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeendelea na mafunzo awamu ya pili kwa kundi la wanafunzi wa kozi ya uofisa ambayo yamelenga kuwajengea uwezo na maarifa mapya katika...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania: Mikoa inayoongoza kwa Ukeketaji ni Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida

    Salaam Wakuu, UKEKETAJI NI NINI? Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu. Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kesi za talaka zizingatie muda kwenye kutoa hukumu kuepusha ukatili dhiki ya mwanamke

    Wasimamizi wa sheria za ndoa wanachangia sana ongezeko la uharifu dhidi ya binadam! Kesi nyingi za talaka zikifika mahakaman zinapigwa danadana sana kiasi cha kuchukua muda mrefu huko mahakaman jambo linalochangia madhara kwa wanandoa wenyewe! Athari kubwa inamkumba sana mwanamke ambaye yupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…