ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. feyzal

    JamiiForums Tanzania CCM ni katili sana, sishangai ukatili wa serikali yake

    Salaam wakuu. Hebu fikiria kiongozi wa serikali amelala Nyumbani na Familia yake halafu siku hiyo hiyo ametoka kubomoa makazi ya watu na kuiacha uchi familia ya Mwenzako namna hii? Unajisikiaje?. Jibu ni moja kwa sababu ni mwana CCM hao wamezoea ukatili ndo maana hata kwenye majukwaa yao hutoa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tauhida Cassian Gallos ahoji Bungeni mkakati wa Serikali kudhibiti matukio unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na watoto

    MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto "Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya Wanawake na Watoto nchini?" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Afungwa miaka 30 kwa kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia, bado anakabiliwa na kesi ya kumuua mama yao(mkewe)

    Mkazi wa wilaya ya Kilosa, Mohammed Salange amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada kukutwa na hatia ya kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia wa kiume mwenye umri wa miaka 9. Makosa hayo sita yanajumuisha kumng'oa jino La mbele, kumdhuru sehemu mbalimbali za siri, kumwagia maji ya moto...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitendo vya ukatili vinavyofanywa na viongozi wateule wa Rais Tanzania vinaongezeka kwa kasi na hakuna anayechukuliwa hatua za kisheria?

    Kwa miaka kumi tumeona wakuu wa wilaya na mikoa wakichapa na kupiga subordinate wao na kuishia kutenguliwa uteuzi kisha baada ya muda kuteuliwa tena. Tumeshuhudia viongozi kama Naibu Waziri akituhumiwa kunyanyasa mwajiriwa lakini hakuna chombo kinachochunguza na hata wanaotaka kuchukua hatua...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa. Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua. Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonesha wanaume tunaongoza kuwafanyia ukatili, kuwaumiza na kuwasaliti wanawake

    Kwema Wakuu! Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa linapokuja swala la kupasuana, kuumizana, kutesana, kukatiliana na kusalitiana kati ya mwanaume na mwanamke basi sisi wanaume ndio tunaongoza. Sio habari mwanaume kumcheat Mwanamke. Hiyo sio habari. Wanaume tuna ubinafsi katika suala la kihisia...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Watu ambao hufanya ukatili wa kuua, kutesa na kudhulumu, wao huwa hawapendi wafanyiwe hayo mambo

    Hili jambo huwa linasababishwa na MTU kukosa vitu viwili @ Sympathetic @ Empathetic MTU akikosa huruma ataiba ,atadhurumu n.k Na MTU akikosa kuhisi hisia za MTU mwingine na Ku-feel Kama anavyo-feel au kuvaa viatu cya mwingine basi ataua, atatesa na kuangamiza. Hivyo majambazi , wote ...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Chagueni Bodaboda mnaowajua kuepusha matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto

    Katika jitihada za kuzuia na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini, wazazi na walezi wametakiwa kufanya uchaguzi sahihi na kuwatambua bodaboda wanaowapeleka watoto wao shule ili kuepuka vitendo hivyo. Rai hiyo imetolewa Februari 22, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalili

    Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalilishaji) Serikali imesema imeandaa mipango na mikakati ya kuwasaidia waathirika na manusura wa vitendo vya ukatili ili kuhakikisha wanapatiwa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wadau wa utalii waungana na Jeshi la Polisi kupinga ukatili

    Chama cha Wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini. Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John...
  11. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa

    Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa. Watoto wanakumbana na changamoto nyingi katika jamii, ikiwa ni shuleni, nyumbani, na hata mitaani. Watoto wanaweza kuteswa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kimwili, kihisia, kiakili, na kingono. Ukatili wa kihisia unaweza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

    Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015. Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
  13. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kwa ukatili huu Tanesco imerogwa

    Just imagine Nchi Ina miaka 62 ya uhuru Bado Inagawa umeme kwa wananchi. Wewe mtanzania mwenzangu unayepiga kura kuchagua majitu yanayojiita viongozi. Hivi unaonaje? Kweli hii ni Sawa kugawiwa umeme? Wananchi Wana viwanda, butcher, machine za kusaga, vituo vya radio, saloon, machine za mbao...
  14. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Ngono kwa Watoto

    Ukatili wa ngono kwa watoto ni changamoto kubwa katika jamii zetu ambayo imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwa watoto na jamii kwa ujumla. Watoto wamekuwa wakikumbana na ukatili huu kutoka kwa watu wa karibu kama vile ndugu, majirani, walinzi, na hata wafanyakazi wa nyumbani. Tabia hii ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watoto zaidi ya 3,000 wapewa Elimu ya Ukatili wa Kijinsia, utoaji wa taarifa za uhalifu na matumizi ya barabara

    Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga ambaye pia ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin Kuzaga katika kilele cha Kongamano la Utoto Mtakatifu Jimbo la Mbeya lililofanyika Kanisa la Hija...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi watoa elimu na kuchangia damu katika Siku 16 za Kupinga Vitendo vya Ukatili

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Longido limeendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia makundi mbalimbali ya jamii za kifugaji huku wakitumia siku 16 za kupinga vitendo hivyo kuchangia damu katika kituo cha Afya Longido. Akiongea mara baada ya zoezi hilo Mkuu wa Polisi wilaya ya Longido Mrakibu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CP Suzan Kaganda awahimiza Dawati la Jinsia kutoa elimu zaidi ili kukomesha vitendo vya ukatili

    Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu CP Suzan Kaganda amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kote nchini kutoa elimu zaidi ili kumaliza vitendo vya ukatili katika Jamii huku akiwapongeza Watendaji wa dawati hilo kwa kufuatili kesi za ukali kwa karibu na wahusika...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TPF NET Arusha yasema elimu zaidi itamaliza vitendo vya ukatili

    Mtaandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha umesema elimu Zaidi itasaidia kuibadilisha jamii ya watanzania katika kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyotokea katika maeneo tofauti tofauti huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa elimu ili kubadilisha fikra potofu kwa wananchi. Kauli hiyo...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi (TPF-NET) Arusha yawaonya Jamii za Kifugaji zinazoendelea na Ukatili kwa Watoto na Wanawake

    Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha kuelekea Siku 16 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa jamii za kifugaji kata ya Lengijave wilaya ya Arumeru Mkao wa Arusha na kuwaonya baadhi ya wananchi wa jamii ya kifugaji...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanaume 142 Iringa wakimbilia Polisi kisa kufanyiwa ukatili katika ndoa

    Idadi ya wanaume 142 Mkoani Iringa wamefika Polisi kati ya mwaka 2020 hadi 2023 kulalamika kufanyiwa vitendo vya Ukatili kwenye Ndoa. Mbali ya idadi hiyo ila inaelezea kuwepo kwa idadi Kubwa zaidi ya wanaume ambao wanapigwa ama kufanyiwa Ukatili na wanawake kwenye Ndoa ila wamekuwa wakiona aibu...
Back
Top Bottom