ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalumu Wa Mwalimu

  2. JamiiForums Tanzania Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

    Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema. Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane kitaifa. Rasha alitakiwa ahudumie japo Wilaya nzima sio kata tu. Wanaotenda mema bila kujali mapito...
  3. JamiiForums Tanzania Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani. Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
  4. JamiiForums Tanzania Huu ujumbe wa Nape Nnauye anamlenga nani?

    kwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?
  5. JamiiForums Tanzania Je, hakuna uwezekano wa mitandao ya simu kuruhusu kufuta au kuhariri ujumbe mfupi (sms)?

    Sina ujuzi wowote kwenye masuala ya mawasiliano lakini najaribu kuwaza kama kwenye WhatsApp kila siku maboresho yanafanyika why not kwenye jumbe za kawaida za simu? Kwani hakuna uwezekano wa kutufanyia tuweze kurekebisha ujumbe tunaotuma. Kwa mfano mngeweka mtu aweze kuhariri au kuufuta kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Tarh 06/11/2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ujumbe Maalum toka kwa Mfalme wa Saudi Arabia

    Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wafuasi wa Isreal

    Quran imeeleza wazi Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi...
  9. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Liverpool alalamika kutolewa uwanjani huku mechi ikiendelea kwa sababu ya kuvaa koti lenye ujumbe wa "Free Palestine"

    Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine". Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani...
  10. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Sophia Mjema kwa Rais Samia Suluhu

    Aliyekuwa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Makundi Maalum na Wanawake huku nafasi yake ikichukuliwa na Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao. "Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri...
  11. JamiiForums Tanzania Nyimbo ya Lil' Wayne "Mirror" ina ujumbe mkubwa sana

    Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya mkali kutoka USA Lil Wayne inaitwa Mirror Hii nyimbo kaelezea kwa kutumia neno mirror akimaanisha kioo kuwa katika haya Maisha tunaishi huwa Kuna nyakati tunapitia ziwe nyakati nzuri au mbaya ila mtu pekee ambaye atasimama na wewe ni yule ambaye huwa ukijitazama...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa madereva gari za serikali, mtatumaliza huku mabarabarani

    Wengi wenu mnaendesha utafikiri mna hatimiki ya barabara. Hamjali si tu usalama wenu lakini kwa vitendo vyenu mnahatarisha usalama wa wengine waliopo barabarani. Kama mmejichoka kumbukeni sisi bado tunapenda kuishi na kuenjoi ugali. Mwenzenu mmoja katukosakosa leo asbh apo kwenye kona ya gari...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao ujumbe rasmi wa Tanzania na Zambia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Friday quote

    "Forgetting is good for the brain: deleting unnecessary information helps the nervous system retain its plasticity."
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Jumapili: Je, kuna maeneo yaliyokauka katika maisha yako? Nina ujumbe kwako

    Kila nikiangalia nyuzi mbalimbali naona ukavu katika kila eneo la maisha ya mtu, ukavu kwenye mahusiano, ukavu kwenye suala la utafutaji wa pesa, wengine ni wagonjwa na wengine wamesongwa na msongo wa mawazo maishani mwao, hawaoni muelekeo. Wengi wanalia kwasababu ya usaliti katika mahusiano na...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu. Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo...
  17. JamiiForums Tanzania Clatous Chama (Triple C) amewatamani sana Watanzania, katuma ujumbe wa salamu dhidi ya Taifa Stars

    Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023. “Ndugu zangu Watanzania, hatimaye yametimia, tukutane Cote D'Ivoire!”...
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Joyce Mhavile: Waandishi wako hawajui tofauti ya Mahatma Gandhi na Indira Gandhi - pathetic!

    Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili. Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi...
  19. JamiiForums Tanzania Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

    http://www.youtube.com/watch?v=tPK7kXLgkH4
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania Watembelea Ubalozi Misri

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA UBALOZI MISRI KATIKA KUPIGA KURA NCHI MWENYEJI MASHINDANO YA AFCON 2027 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 25, 2023 ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Ubalozi Cairo nchini Misri kabla ya siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…