Mayele atoa elimu kuhusu mfungaji bora. Huyu hapa.

Nipo Kondoa Home Village hapa, nilichokishudia mashabiki wa simba sikuamini kutoka ubingwa mpaka kwenye mfungaji bora ninesikitika sana.

Nikamuuliza mmoja wa makoloa kwani hii hamuoni aibu, alinijibu eti ushabiki wa simba na Yanga ni ujinga tu, ngachoka....
 
Mbona sasa mnamlalamikia Mzize kwa kutaka kufunga mwenyewe badala ya kumpa Mayele?


 
Venus Star na makolo wengine hawataki kabisa kusikia ukweli huu unao wauma mno.
View attachment 2651743
Mayele siyo kanuni.

Hakuna uto mwenye Akili.
Screenshot_20230609-214511.jpg
 
UTARATIBU WA FIFA UPO KAMA IFUATAVYO.

1.Wanaangali mchezaji aliyefunga MAGOLi mengi zaidi kwenye mashindano.

2.kama wachezaji wamefungana wame( tie) MAGOLi aliyecheza MICHEZO MICHACHE ndio anapewa ufungaji Bora.

3.kama wote WAMECHEZA michezo sawa wanaangalia Mchezaji MWENYE Asisist nyingi.

KAMA TUNGEKUWA TUNAFUATA SHERIA ZA FIFA SAIDO ANGEKUWA MFUNGAJI BORA NBC 2022-2023.

JF
 
Ni ajabu watu kushindwa kufuata au kugeuza sheria na kuipa bodi ifanye mapendekezo yawe juu ya sheria katika utoaji wa tuzo.

kama walishindwa kupanga ratiba Leo ataweza kufuata sheria.
 
Back
Top Bottom