Mashairi maalulum kwa pisi kali ambazo tabia ni F na tamaa zimewameza

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Ukimuona utadhani malaika/

Kwa jinsi alivyo umbika/

Jicho la kulainika/

Kiuno kimebinuka/

Tumbo limefutika/

Mpodo umejazika/

Sauti yake tamu hakika/

Yaani mtoto kakamilika/

Ana haiba ya kutukuka/

Na msafi mithili ya paka/

Ni mrembo alopambika/

Na anavutia kwa kila rika/

Ukimuona utashawishika/

Japo mwingi wa haiba/

Ila kitabia hajui kushiba/

Mtaani bonge la kahaba/

Kudanga ndio wake mkataba/

Haangalii sura ye anajali fuba/

Anadai anatafuta hela sio mahaba/
 
Wakiona Pesa tu wanakaba
Siku hizi nao wanajiona wababa
vichwan mwao wamejaza jaziba
Akiwa wa uswazi Saa yako ataiba
Akiwa wa kishua udume ataubeba
 
Back
Top Bottom