Jana Jumatatu katika dakika 45 ya mahojiano kuhusu DP World kati ya Naibu Katibu Mkuu Ujenzi na Usafirishaji na Ndugu Mzinga kwa kweli sikumuelewa alichokuwa anaeleza Naibu Katibu Mkuu kuhusu DP World. Hakuwa amejitayarisha na maelezo yake yalikuwa below standard.
Kwa mahojiano yenye umuhimu...
Habari wakuu,
Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amekabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa mashujaa, katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma mapema Julai 2, 2023.
Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA...
Tarehe 1 Julai mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 102 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC. Katika kipindi cha karne iliyopita, CPC kimewaongoza Wachina kufikia maendeleo ya kihistoria, na kuiendeleza China, iliyokuwa maskini na dhaifu, kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa...
Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu?
Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa?
Huoni aibu kwani? Na...
Baadhi ya Wafanyabiashara waliopisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mwenge (Mwenge Bus Terminal) na kudai kuwa waliahidiwa kupewa kipaumbele baada ya mradi kukamilika, mambo hayajaenda kama walivyotarajia.
Wamedai kuwa ahadi hiyo ilitolewa Mwaka 2019 baada ya Mkandarasi Mshauri kukabidhi...
Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha.
MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
Ramani ya Ukumbi/Venue
Unauwezo wa kuhudumia watu 400
Pia Tunatoa huduma zifuatazo
◇RAMANI NA UJENZI
◇KUFATILIA VIBALI VYA UJENZI
◇KUANDAA GHARAMA ZA UJENZI (BOQ)
◇USIMAMIZI WA UJENZI
Wasiliana nami
+255 654 132 000
hummertimebuilders@gmail.com
Tunapatikana; Shekilango- Dar es salaam.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari...
Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari.
Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji shughuli za bandari zote za Tanganyika kuwa chini ya umiliki na usimamizi wa milele wa muarabu wa Dubai...
MKABATA UJENZI WA BARABARA MTILI - IFWAGI (KM 14) WASAINIWA - JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe tarehe 20 Juni, 2023 ameshuhudia utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara...
Habari naomba kuuliza makadirio ya ujenzi wa uzio wa kawaida tu wa matofali kwenye eneo lenye urefu mita 120 na upana mita 80 inaweza kutumia matofali mangapi? Nataka nianze kukusanya tofali mdogomdogo
Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
Wadau tujuazane kuhusu ujenzi unaindelea pale buguruni, hizi nchi zetu za hovyo sana kazi inaendelea na hamna taarifa yoyote kwa wananchi.
Kila siku napita pale nione hata bango linaloelezea nini kinaendelea lakini wapi.
Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake.
Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami kwenye mikoa 13 kwa pamoja zenye jumla ya urefu wa KM 2035 kwa mtindo wa EPC+ F (Engineering...
1.Historia ya ukuaji wa teknolojia
Teknolojia ni utumiaji wa maarifa ya sayansi kwa ajili ya kubuni, kuunda, kuboresha na kutumia zana, vifaa, mifumo, na michakato ya kufanyia kazi ili kuchangia maendeleo katika maisha ya binadamu au katika utendaji wa shughuli zozote za kibinadamu kwa uharaka...
Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi...
JIMBO LA KITETO
TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO
HAFLA YA KUSAINIWA KWA MIKATABA UJENZI BARABARA ZA LAMI
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto nachukua fursa kuwafahamisha kuwa KESHO tarehe 16. 6.2023 Wizara ya Ujenzi kupitia kwa Mhe. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Mbarawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.