ujenzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi kuhusu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

    Wataalam naomba aliyeelewa sentensi hizi zinahusu hii barabara ya pugu-mbezi- mwisho hadi bunju anisaidie ufafanuzi. Make mimi mchanganyiko wa maneno sikuuelewa kabisa. Naomba mtu anayeelewa anifafanulie hii barabara niielewe plz
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Naibu Waziri kuhusu ujenzi wa stand kuu Arusha wapuuzwa

    Ujenzi wa stand kuu Arusha bado ni kizungukumkuti hadi sasa licha ya maelekezo ya mara kwa mara kutoka serikalini kuwa ujenzi huo uanze mara moja. Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo mh. Geofrey Pinda alitoa maelekezo mwezi wa tatu mwaka huu kuwa ujenzi huo uanze ndani ya siku 30 lakini...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

    Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
  6. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chamliho alitenguliwa Ujenzi ili Prof. Mbarawa akarahisishe ya Dubai Port?

    Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu. Duru zinadai Dkt. Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256)

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256) Sehemu ya kwanza Pangani-Tanga (km 50) kwa kiwango cha lami umefikia 75% Sehemu hii ya Tanga - Pangani inagharimiwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100. Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Serikali yakabidhi eneo la ujenzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment Consulting Company Ltd (ABECC) katika eneo la Lakilaki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mchango mkubwa unaofanywa na mafundi ujenzi anayejenga majengo ya serikali kwa mfumo wa force account

    Mimi ni fundi ujenzi nimesomea chuo cha ufund Arusha, Mwaka 2018 nilipata kazi ya kitui cha afya umaliziaji wa jengo la mama na mtoto. Nilifanya kazi hiyo nikiwa kama fundi msaidiz kwani alishika tenda ni fundi mwingine tulikubaliana kuwa atanilipa tsh 15000 kwa siku hata hivyo kwa huku kijijin...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 573 Zatolewa na Serikali Ujenzi wa Wanyere Sekondari Jimbo la Musoma Vijijini

    SERIKALI YATOA MCHANGO MKUBWA WA TSH MILIONI 573 KWENYE UJENZI WA WANYERE SEKONDARI Jimbo la Musoma Vijijini laendelea kutatua matatizo yanayowakabili wanafunzi wanaosoma kwenye Sekondari za Kata za Jimboni humo. Matatizo makuu yanayowakabili ni: Umbali mrefu wa kutembea kwenda masomoni...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Waliochangia Ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam

    MWINYIMBEGU ( MWINYI) DIBIBI si jina geni masikioni mwa watu wa Tanganyika ya kale na hususan wenyeji wa Upwa wa Pwani ya Tanganyika. Huyu ni Babu yangu ambaye wanamwita kama ni uzao Mkuu ambaye alifanikisha kwa kushinda mapambano ya Uhuru wa Tanganyika katika ardhi ya asili yetu. Miongoni...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi Hajaridhishwa na Usimamizi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Chemba - Dodoma

    NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) hajaridhishwa na hali ya usimamizi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na Ofisi katika halmashauri ya wilaya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Ujenzi Kufanya Tathimini ya Kupandisha Hadhi Barabara za Mkoa wa Kilimanjaro

    TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Milioni 550 Zakamilisha Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (Naibu Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara) tarehe 28, Mei, 2023 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi ya Halmashauri ya Momba

    WIZARA YA TAMISEMI INAKUSAIDIA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA STENDI YA HALMASHAURI YA MOMBA Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata watu wa ardhi kuweka beacon upoje?

    Mimi nina nyumba Chanika jirani yangu anasema nimeingia kwake upana wa nyumba yangu 45 mt lakini nikipima ni 42 mt bado anasema nimejenga kwake. Je, utaratibu upoje wa kupata watu wa ardhi waje wapime watuwekee becon kila mmoja ajue mipaka yake na gharama ngapi? Mwenye kujua naomba anafafanulie.
  17. Mamy7

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uzio wa waya (senyenge)

    Habari wanajukwaa, Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)? Asanteni
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baada ya Serikali kutenga Tsh. Bilioni 1.4 kwa ajili ya Chuo cha VETA Rorya, awamu ya kwanza ya ujenzi yaanza

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya. Chuo hicho kitajengwa kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza ni ujenzi wa majengo 9. Mkuu wa...
  20. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Zijue hatua za uwekaji wiring ya umeme katika jengo lako kadri ujenzi unavyoendelea

    -Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo 1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.( +ni option ya mteja) huanza kwa Kuchana ukuta ,Kuweka metal box za switches ,round box taa za...
Back
Top Bottom