Lipi ni chaguo (Option) sahihi kuhusu ujenzi wa nyumba ya Ghorofa moja

Lubengera

JF-Expert Member
Jun 21, 2019
813
1,295
Wanabodi.
Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama.

Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi wa ghorofa, kuna ambao husema ujenzi wa ghorofa moja la kawaida (nyumba ya makazi) si gharama kama inavyosemwa na watu malimbali, na wataalamu huenda mbali zaidi kuwa ghorofa moja si lazima kumwaga jamvi ili kupunguza gharama za ujenzi.

Wataalamu naomba mtoe ushauri, Je ni kweli si lazima kwamwaga jamvi kwenye ground floor kwa ujenzi wa ghorofa moja ya nyumba ya makazi?

Ushauri wenu ni muhimu sana katika jukwaa hili ili kutuongezea uelewa.

Karibuni
 
Baada ya kuinua kuta, na kabla ya kumwaga slab(kiwanja cha juu) itakulazimu kutoa udongo na kupanga mawe ili umwage rafu; mwisho wa siku gharama zitakuwa zile zile kama za kumwaga jamvi kwenye msingi.​
 
Wanabodi.
Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama.
Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi wa ghorofa, kuna ambao husema ujenzi wa ghorofa moja la kawaida (nyumba ya makazi) si gharama kama inavyosemwa na watu malimbali, na wataalamu huenda mbali zaidi kuwa ghorofa moja si lazima kumwaga jamvi ili kupunguza gharama za ujenzi.

Wataalamu naomba mtoe ushauri, Je ni kweli si lazima kwamwaga jamvi kwenye ground floor kwa ujenzi wa ghorofa moja ya nyumba ya makazi?
Ushauri wenu ni muhimu sana katika jukwaa hili ili kutuongezea uelewa.

karibuni
Habari Tajiri, naomba kuongea facts kama mtu mwenye experience ya kujenga ghorofa kwa kufuata standards zake. Ujenzi wa ghorofa ni gharama gharama saana kwa kuwa framework ya ghorofa ni columns and rows(beans) matofali ni kama cover tuuu ya framework na framework inaundwa kwa chuma and concrete KUMBUKA kwenye ujenzi chuma na concrete ni the most expensive items. But nyumba ya kawaida matofali ni framework yenyewe.

Mtu akikwambia ghorofa ni bei rahisi ni hajacomply na standards za ghorofa sehemu ya columns inataka lines sita za nondo za 16 mm yeye anaweka line nne nondo 12mm baada muda anakuja kusema kwamba ghorofa sio bei kubwa asikudanganye. Ujenzi una standards zake ndio maana Kuna nyumba ziba miaka mitatu Zina nyufa kama pundamilia.

Ushauri wangu kwako.

Gharama ya ghorofa Moja let's say ya 18m*12m unaweza kujenga nyumba za chini Kali zaidi ya mbili. Mimi nakushauri Jenga nyumba ya chini Kali mbili kuliko ghorofa japokuwa sawa ghorofa Lina net asset value kubwa. Invoice za ghorofa sio mchezo unaweza kuongea pekee Yako.

Ingekuwaghorofa kujenga ni rahisi au tofauti ingekuwa ni 30% watu wengi wangejenga jiulize why maghorofa ni machache saaaana ya watu binafsi hapa mjini?
 
Mbona umeweka ghorofa kubwa hivyo sqm 206

Nyumba nyingi za ghorofa kwa familia ya kawaida ni 180sqm ambapo gharama zake ni 180,000,000/ ukifata standards zote ukiamua acha unaweza ijenga kwa 100,000,000

NB: 1sqm ni 1mil mkandarasi
 
Umemaliza kabisa mkuu.
 
Mkuu ghorofa moja juu yenye 92sqm inaweza kunila bei gani kwenye kiwanja flat
 
Mbona umeweka ghorofa kubwa hivyo sqm 206

Nyumba nyingi za ghorofa kwa familia ya kawaida ni 180sqm ambapo gharama zake ni 180,000,000/ ukifata standards zote ukiamua acha unaweza ijenga kwa 100,000,000

NB: 1sqm ni 1mil mkandarasi
Hiyo bei iko juu sana chief 1sqm ni laki 5 mpk 6 hauna haja ya kutumia mkandarasi mtafute mtaalam wa ujenz aifanye kaz kwa ufanisi
 
Habari Tajiri, naomba kuongea facts kama mtu mwenye experience ya kujenga ghorofa kwa kufuata standards zake. Ujenzi wa ghorofa ni gharama gharama saana kwa kuwa framework ya ghorofa ni columns and rows(beans) matofali ni kama cover tuuu ya framework na framework inaundwa kwa chuma and concrete KUMBUKA kwenye ujenzi chuma na concrete ni the most expensive items. But nyumba ya kawaida matofali ni framework yenyewe.

Mtu akikwambia ghorofa ni bei rahisi ni hajacomply na standards za ghorofa sehemu ya columns inataka lines sita za nondo za 16 mm yeye anaweka line nne nondo 12mm baada muda anakuja kusema kwamba ghorofa sio bei kubwa asikudanganye. Ujenzi una standards zake ndio maana Kuna nyumba ziba miaka mitatu Zina nyufa kama pundamilia.

Ushauri wangu kwako.

Gharama ya ghorofa Moja let's say ya 18m*12m unaweza kujenga nyumba za chini Kali zaidi ya mbili. Mimi nakushauri Jenga nyumba ya chini Kali mbili kuliko ghorofa japokuwa sawa ghorofa Lina net asset value kubwa. Invoice za ghorofa sio mchezo unaweza kuongea pekee Yako.

Ingekuwaghorofa kujenga ni rahisi au tofauti ingekuwa ni 30% watu wengi wangejenga jiulize why maghorofa ni machache saaaana ya watu binafsi hapa mjini?
Nyumba ya gorofa moja uweke laini 6 za nondo ya 16mm kwenye colum? Hatari hii bwashee. Hiyo colum itakua na ukubwa gani.... standard size ya culum ya nyumba ya gorofa moja ni 300×300 embu panga nondo sita za nondo ya 16 ndani yake... utakua unatengeneza kitu kingine ila sio nyumba ya gorofa moja.

Kwa huo uzoefu wako lazima uone nyumba ya gorofa ni kitu expensive sana
 
Mkuu, wanatishia nini, tunaomba mawazo yako
Wanatisha watu tu. Ghorofa nyingi za kawaida ni 120-250m tu. Sasa huku mtaani watu wana nyumba za chini 50-70m zaidi ya tano utashindwa kujenga ghorofa ukiamua? Mimi binafsi sina mzuka na ghorofa ila mwenzangu humwambii kitu.
 
Back
Top Bottom