ujenzi wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya; Vipaumbele vya Serikali kwenye ujenzi wa barabara unaoendelea ni nini?

    Niliandika siku si nyingi hapo nyuma ni kwa nini ujenzi wa barabara hauanzi na maeneo hatarishi yanayoua wananchi kama Simike, Mlima Iwambi na Mlima Nyoka? Badala yake wajenzi wapo busy na maeneo tambarale kabisa ambayo sio hatarishi kama Ifisi na Iwambi Tazara? Hivi serikali haijui maeneo...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali iko mbioni kupendendekeza chanzo kipya cha mapato kupata fedha za Wizara ya ujenzi kutatua dharura

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali iko mbioni kupeleka Bungeni pendekezo la chanzo kipya cha mapato kitakachowezesha Wizara ya Ujenzi kupata fedha itakayotumika kusaidia masuala ya dharura. Dkt. Mwigulu amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya lami ya Musoma-Makojo-Busekera kuanza kujengwa

    Wizara ya Ujenzi inasema yafuatayo: 1. Matayarisho ya Manunuzi (kumpata Mkandarasi) yanakamilishwa. Barabara litajengwa kwa awamu mbili, kwa kuanza na km 40. 2. Randama (Kitabu cha Bajeti) kinasomeka hivi; (2a) Ukurasa wa 116 unaorodhesha barabara hilo kwenye Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025...
  4. Son of the universe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ujenzi wa barabara mpya uzingatie na upandaji wa miti na maua ili kupendezesha mandhari ya barabara hizo

    Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa nchini kote. Napenda kuzungumzia barabara kuu zinazopatikana ndani ya majiji katika nchi yetu ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe (Moshi) unaendelea

    Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma. Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Awaondoa Wataalam Wote Wanaosimamia Ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Mlele

    BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni - Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo-Arusha

    Naipongeza Serikali kwa ujenzi wa barabara hii. Changamoto iliyopo ni kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo hajaweka alama ambazo zinawataka/kuelekeza watumiaji wa barabara kutumia njia mbadala. Hili linasabisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara/njia hizo. Pia...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Sanzate - Nata Wafikia 45%

    UJENZI WA BARABARA YA SANZATE - NATA WAFIKIA 45% Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya Sanzate - Nata iliyopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 45 na inatarajiwa kukamilika ifikapo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25. Akizungumza kwa niaba ya...
  10. Papasa

    JamiiForums Tanzania Israel imekamilisha ujenzi wa barabara Gaza

    Jeshi la Israel limekamilisha ujenzi wa barabara mpya inayopita katitaki ya eneo la kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi mwa eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa picha za satelaiti zilizodhibitishwa na kitengo cha uchunguzi cha BBC verify. Jeshi hilo limeiambia BBC kuwa linajaribu...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Kutumia Teknolojia Mbadala Ujenzi wa Barabara Nchini

    TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa Barabara kwa baadhi ya maeneo na inaendelea kutathmini ufanisi wake kwenye mazingira kwa kutumia...
  12. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa barabara (Nyanza Roadworks) hawafukii mashimo walipochukua vifusi, maeneo ya Iyumbu, Block C, Dodoma na kusababisha HATARI

    Habari, Tunaomba ushauri ili tupate msaada kutoka kwa mamlaka husika. Mimi ni mmoja wa wakazi wa Block C, Iyumbu West, Dodoma. Tuna changamoto ya mashimo / makorongo makubwa yaliyochimbwa na kampuni ya Nyanza Roadworks wakitafuta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara, na mpaka sasa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara Bugene - Burigi Chato urefu kilometa 60

    Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK unaendelea https://m.youtube.com/watch?v=GkkKS4c16Rg SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya...
  15. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Makonda ambananisha meneja TANROADS Geita: Ahoji ni lini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakoro (km 60) utasainiwa ili ujenzi kuanza

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami. Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanachi wa Wilaya ya Momba Wamefurahishwa na Ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika Yenye Urefu wa Kilomita 33

    WANANCHI WILAYANI MOMBA WAIPONGEZA TARURA KWA UJENZI WA BARABARA YA IKANA – IYENDWA-NAMCHIKA. Na Mwandishi wetu - Momba Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika yenye urefu wa kilomita 33 ambapo hapo awali ilikuwa haipitiki na...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Barabara ya Segerea-Bonyokwa-Kimara waanza baada ya kulalamikiwa kwa muda mrefu

    Habari wakuu, Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara za Mtili - Ifwagi (KM 14) na Wenda - Mgama (KK 19) Mkoani Iringa kwa Kiwango cha Lami

    MKABATA UJENZI WA BARABARA MTILI - IFWAGI (KM 14) WASAINIWA - JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe tarehe 20 Juni, 2023 ameshuhudia utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania EPC + F Siyo Muujiza na Hakuna Utawala Ambao Ungeshindwa Kuutumia Kama Ungekuwa ni Absolute Solution

    Tunawapongeza wale wote ambao kila siku, usiku na mchana, wanafikiria namna ya kutatua matatizo ya nchi na wananchi. Lakini watu watambue kuwa hakuna muujiza wa kuifanya nchi ipate maendeleo, na kulala na kuamka, matatizo ya nchi na wananchi yakaisha, zaidi ya kufanya kazi kwa bidii, kujinyima...
Back
Top Bottom