ujenzi wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Songwe: RC Chongolo aiagiza TANROADS kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Isongole-Isoko (km 52.419) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhakikisha mkandarasi wa barabara ya Isongole-Isoko anaanza ujenzi mara moja. Tayari serikali imetangaza zabuni kwa ajili ya ujenzi wa barabara...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeanzisha Majaribio ya Ujenzi wa Barabara kwa Teknolojia ya Armarseal

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii inalenga kuboresha uimara wa barabara na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara. Moja ya...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo ageuka mbogo kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Engosheratoni jijini Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Gambo, ametembelea mradi wa ujenzi wa Barabara ya Engosheraton jijini Arusha na kumtaka mkandarasi wa mradi huo, Jiangxi GEO, kuongeza kasi ya utekelezaji. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Gambo amesema barabara hiyo ilitakiwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Ataka Wazawa Wapewe Kipaumbele Ujenzi wa Barabara

    ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Atoa Maelekezo Ujenzi wa Barabara ya Mbande - Msongola (3.8 KM) Ukamilike kwa Wakati na Ubora

    WAZIRI ULEGA ATOA MAELEKEZO UJENZI WA BARABARA YA MBANDE -MSONGOLA (3.8 KM), UKAMILIKE KWA WAKATI NA UBORA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo Jumamosi tarehe 28 Desemba 2024, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbande hadi Msongola yenye urefu wa kilometa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa Barabara ya Mwendo Kasi Tegeta Hadi Mwenge Sasa Imekuwa Kero kwa Wananchi Walio jirani na Mradi Huo

    Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu bila kuweka njia mbadala. Hali ambayo inaleta kero sana kwa wakazi wa maeneo hasa ya mbezi beach...
  8. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaridhishwa na ujenzi wa barabara ya mwendokasi njia ya Posta-Mwenge-Ubungo-Tegeta?

    Mimi binafsi sioni kabisa kinachofanyika katika ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kwa phase hii ya njia ya tegeta posta na kipande cha ubungo tofauti kabisa na ujenzi wa njia ya Morogoro road au ilee ya gongolamboto. Enzi za ujenzi wa Morogoro road kwanza utaona watu wapo busy masaa 24 kufanya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kusainiwa Mkataba ujenzi wa Barabara za DSM - MUNGU TUSAIDIE ISIWE NI SIASA ZA UCHAGUZI

    Serikali kupitia waziri wake wa Tamisemi Mh Mchengerwa imetutangazia kusainiwa kwa mikataba ya ujenzi wa Barabara za halmashauri za jiji la DSM. Maoni ya wananchi wengi wanaonyesha kutokuamini uhalisia wa jambo hili kwani inaonyesha ni kila mwaka kumekuwa kukitolewa ahadi nyingi ambazo zimekuwa...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Salaam Wakuu, Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP), Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni kukabili changamoto zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam kwa kutilia mkazo uboreshaji wa huduma za...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Ambana Mkandarasi Kasi Ndogo Ujenzi wa Barabara ya Nyamwage - Utete

    BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE - UTETE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete (km 33.7) kwa kiwango cha lami na kumuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani...
  12. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kasi hii ya kurekebisha miundombinu Mbeya, tunatamani Uchaguzi uwe kila Mwaka

    Hizi chaguzi zina raha yake jamani, huku Mbeya karibia kila Mtaa utakaopita unakutana na Magreda yakiendelea na kazi ya kurekebisha Barabara. Hii huwa inatokea kila tuingiapo kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi tofauti na kipindi lingine. Mwanongwa natamani uchaguzi uwe unafanyika kila baada...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?

    Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi? Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Amkabidhi Mkandarasi Ujenzi wa Barabara Kyerwa - Omurushaka (Karagwe)

    BASHUNGWA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA BARABARA KYERWA - OMURUSHAKA (KARAGWE). Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa amkabidhi mkandarasi ujenzi wa Barabara Kyerwa - Omurushaka (Karagwe)

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango cha lami na kuuagiza Wakala ya Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi huyo ili...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meneja TANROADS aelezea ulipofikia mchakato wa Ujenzi wa Barabara ya Mbagala Mzinga - Kongowe - Kisemvule

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai Barabara inayopita katika Daraja la Mto Mzinga pamoja na Daraja lenyewe maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam ni changamoto kutokana na uchakavu na kutoboreshwa kwa muda mrefu, TANROADS imetoa maelezo. Kusoma alichoandika Mdau bofya hapa ~...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sierra Leone yaipongeza TARURA ujenzi wa madaraja na barabara za mawe

    #Matumizi ya mawe kupunguza gharama zaidi ya 40% #Ushirikishwaji wa vikundi vya kijamii kusaidia kulinda miundombinu Dodoma Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Matengenezo ya Barabara wa Sierra Leone Bw. Mohamed Kallon ameipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuanza Ujenzi wa Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma - Waziri Bashungwa

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  19. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Wachina wanataka chao ili waendelee na ujenzi wa barabara Mbeya

    Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali. Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini Mkataba Ujenzi wa Barabara ya Iringa - Msembe, Shilingi Bilioni 142.5 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Utiaji saini...
Back
Top Bottom