Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa.
Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu.
Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko.
Nimepata tetesi kuwa hata kwa Katibu Mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami.
Tofauti...
Kama barabara hizi hazitatumika kusafirisha mazao, mifugo na bidhaa kwenda na kutoka zinakopita zitatumiwa na wananchi kusafirisha vyuma vya madaraja na alama za barabarani vya barabara hizo vilivyokatwa na kung'olewa na wananchi kwenda kuuza na kujipatia fedha ya kujikimu.
Tunapomimina hela za...
Bw. Joseph Katallah amekutana na uongozi wa Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads) na kujadiliana nao kuhusu matumizi ya teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara.
Bw. Katallah anashirikiana na Kampuni ya Geopolymer Solutions LLC ya Marekani inayomilikiwa na Bw. Rodney Zubrod ambayo imebuni...
Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao.
Barabara...
UJENZI WA BARABARA KILOMBERO MKANDARASI ANAIDAI SERIKALI?
Mheshimiwa Rais, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro, miradi mingi ya kimaendeleo ambayo inatumia fedha za umma haikamiliki kwa wakati. Iko mingi sana lakini kilio hasa ni huu mradi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami, ya urefu wa...
Wazee wa Kijiji Cha KwaMsisi kilichopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamekubali kupokea Shilingi Milioni 1 na laki 3 kwaajili ya Kufanya Tambiko katika Ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kijijini hapo
Hapo Awali wazee hao walimtaka Mkuu wa Wilaya Hiyo Siriel Nchembe kupewa Tsh...
Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze kuitambikia barabara hiyo, hatimaye Wazee hao wamekubali kupewa shilingi milioni moja na laki tatu...
Katika ilani ya CCM na ahadi katika uchaguzi uliopita suala la barabara lilikuwa agenda kubwa hasa barabara za kuunganisha mikoa ya pembezoni kama Katavi na Kigoma.
Na pia barabara za vijijini.
Ahadi kubwa ilikuwa ni ujenzi wa barabara kuboresha mitaa ya jiji la Dar es Salaam ambao ulifanikiwa...
Mipango yetu mibovu inatufilisi, natafakari kimoyomoyo kisha kwa sauti kuhusu ni nani anahusika katika kuliingiza taifa masikini kama la kwetu kwenye hasara hizi za kubomoa barabara mpya ambazo hazijachoka ili kupisha ujenzi wa barabara za magari yaendayo haraka, BRT.
Barabara zetu...
Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), umesema ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri na utakamilika kama ulivyopangwa.
Pia, umesema kuwa mpaka sasa mradi huo ambao utakwenda kupunguza tatizo la msongamano wa magari...
Habari ya kwako Mdau,
Kwa siku nyingi sasa kumekuwa na changamoto ya barabara hasa katika maeneo ya mikoani ambapo barabara nyingi za lami zimekuwa zikifumuliwa mara kwa mara. Yaani kila baada ya miezi kwa kuharibika mapema kwa sababu zimejengwa chini ya kiwango cha lami.
Hii imekuwa kero kubwa...
Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa kuangalia ni kipande kidogo cha kiluvya -kibaha upande mmoja ndiyo ilikuwa haijawekewa tabaka la...
Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi!
Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana!
Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi!
Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa...
Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli sote twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi, mfano bwawa la Mwl. Nyerere, Reli ya Mwendokasi (SGR), barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi.
Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na...
Mara ya mwisho kukuona ilikuwa kwenye kampeni, sababu kubwa ya uzi huu ni kutaka kujua sisi wakazi wa Kigogo lini tutaanza kuona miradi ya barabara za mitaani maana mitaa mingi jijini Dar ujenzi wa barabara za mitaani zinaendelea tena huku zikinakishiwa na mataa pembezoni, wote tumo ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.