Hivi tabia ya kupiga picha na hela, ni ujanja au ushamba?

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
328
1,209
Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
IMG_8123.jpeg
 
Kuna level ya pesa/utajiri ukiwa nao/ nayo huwezi kupiga nayo picha maana unakuwa ushaizoea kiasi cha kuona ni kawaida.

Hawa wanaopiga picha na pesa wengi wao ni wale waliotoka katika maisha duni, walishapigika sana na kutambiwa na wengine. Hii inakuwa ni kama nafasi yao ya kuridhisha nafsi zao kuwa sasa sio maskini tena. Na wenyewe wakizoea wataacha pia.

Huwezi kuta picha ya Bakhressa au Bill Gates wakiwa na maburungutu ya pesa.

Kubwa na la muhimu zaidi ni kufanya kile nafsi yako inapenda. Ikiwa furaha yako ipo kwenye kupiga picha na pesa na unazo hizo pesa, wewe piga tu. Mwisho wa siku una wewe mwenyewe tu wa kuridhisha.
 
Back
Top Bottom