uhusiano

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF na Jemedali Said wana uhusiano gani?

    TFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae anampa Jemedari habari binafsi za watu na taasisi zinazozua taharuki kwa umma? Tuna wasiwasi na TFF na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna uhusiano kati ya pesa na uwezo darasani

    Hadi sasa hakuna mahusiano kati ya uwezo mkubwa darasani na maisha mazuri. Nilipokuwa shule ya msingi kulikuwa na mabinti watatu pale darasani wenye uwezo mkubwa, wao namba mbili hadi nne, lazima washike wao, cha ajabu ni mmoja tu alifanikiwa kumaliza darasa la saba, wawili walipata mimba...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Uhusiano ulioanzia kwenye Mtandao wa Craigslist wadaiwa kumfanya binti Mkenya apotee kusikojulikana

    Irene Gakwa ni binti aliyezaliwa nchini Kenya miaka 33 iliyopita ambaye mwaka 2019 alihamia nchini Marekani akiwa na ndoto za kusomea maswala ya afya. Irene alikutana na upinzani mkubwa kwenye hatua za awali za uamuzi wake huu kutoka kwa wazazi wake ambao hawakutaka ahamie huko, lakini kutokana...
  4. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uhusiano kati ya usafi wa mazingira na maendeleo

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka mfano miti,mito,miamba,hewa safi. Utunzaji wa mazingira ni kitendo kinachohusisha uhifadhi wa mazingira asilia,kuyalinda yasiharibike kutokana na shughuli za kibinadamu mfano utupaji hovyo wa Taka. Usafi wa mazingira Inauhusiano mkubwa sana katika...
  5. ward41

    JamiiForums Tanzania Kama huna akili ya ZIADA huwezi kuelewa sayansi. Sayansi ni kanuni Haina uhusiano na dini

    Tujifunze kutokana na huo mtambo unaitwa international space station, upo hapo juu kabisa anga za mbali kama mile mia nne. Halafu mwingine ANATUMIA vitabu vya dini ETI wanasema hawajawahi kufika mwezini. Kama wameweza hilo kwanini washindwe hilo la kwenda mwezini. Sayansi jamani ni kanuni...
  6. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya washika dini sana na roho mbaya/ubinafsi? Maana ni kama hivi vitu havitengani!

    Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu. Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu. Ila kwa wale...
  7. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya kuboresha uhusiano wako na watu wanaokuzunguka kwenye jamii yako

    Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
  8. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakianzisha mahusiano ya kimapenzi ndani ya kundi kuna hatari ya kundi lao kuvunjika

    Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi. Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member wengine walivyokuwa wakijisikia, yaani tupo kufanya kazi alafu nyinyi mnaleta mapenzi! Hili group la...
  9. Nicolaus Trac

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Akana Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Nicole Mke wa Mwanzilishi Wa Google

    Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano mzuri kati ya Kenya na Somalia umerudi

    Uhusiano mwema kati ya Kenya na Somalia umerudi. Kenya sasa itaruhusiwa kuexport miraa kelekea Somalia. KQ pia itaruhusiwa kuoperate Nairobi-Mogadishu route. ====== Somalia has allowed the resumption of miraa exports from Kenya and permitted Kenya Airways to start scheduled flights to...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya IQ na Sura za kumwagika

    Hivi kuna uhusiano wowote kati ya watu wenye uso na sura zilizomwagika na IQ? Sura za kumwagika zimezubaa na boring na wala hazivutii, na wengi wana low IQ, hii observation yangu binafsi
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya unene na mtu aliyefanikiwa kimaisha?

    Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri. Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
  13. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Kuoa/kuolewa na mtu wa imani tofauti na yako kunavyoweza kuharibu uhusiano wako na Mungu

    Hili sio jambo geni kwa wengi wetu, tunaweza kuwa tumeshuhudia au tumesikia, na wachache tunaweza kuwa hatujakutana na changamoto hii au hawajaona kabisa. Kijana ambaye hajaoa/hajaolewa anaweza asijue shida atakayokutana nayo baada ya kuoa/kuolewa na mtu wa Imani tofauti na yake. Imani ni...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Ugonjwa wa Selimundu na magonjwa ya Moyo

    SELIMUNDU (sickle cell) ni ugonjwa unaorithiwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, hutokana na tatizo kwenye chembechembe nyekundu za damu. Ugonjwa huu unaendelea kuongezeka hapa nchini kutokana na wazazi wa pande zote mbili kushindwa kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuoana au kuzaa. Ikiwa...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya malengo yako na matendo yako

    Habari za wakati huu; Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo yako.Wengi wetu hatujui ila moja kati ya chanzo kikuu cha mkwamo katika maisha ni mgogoro au kupishana...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Chukua hii ya Yanga. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mwaka ambao Yanga wanachukua ubingwa na maisha ya neema kwa watanzania.

    Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hojaji kuhusu uhusiano kati dini ya mtu na IQ yake, dini ya mtu na longevity?, dini ya mtu na udikiteta, na IQ ya mtu na elimu yake, na mwisho ni IQ ya mtu na kudanganyika kirahisi. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors. Haya ni maswali valid...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kukopa kwa Wazungu ikiwa aliharibu uhusiano na nchi za Ulaya?

    Leo 10:15pm 07/05/2022 Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa kuelekea uchumi wa kati wa ngazi ya chini, hii ni hatua moja kutoka katika uchumi wa chini,adhma na...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi Rasta zina uhusiano gani na utalii

    Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana...
  20. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Steven Mangele (maarufu Steven Nyerere) kuna uhusiano gani wa bongo movie na CCM?

    Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha! Moja kwa moja niende kwenye hoja! wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu! Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
Back
Top Bottom