Kwa wenzetu majiji huwa yanaongozwa na mameya, mameya hawa huwa wanachaguliwa na wananchi.
Hawa ndiyo huwa wanasimamia mambo yote ndani ya jiji, elimu, afya, usafi, uchumi, miundombinu nk.
Ili kufanya hivyo sheria huwa zinayapa majiji uhuru mkubwa sana wa kuamua mambo yake na pia majiji haya...