uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

    Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri. Hata...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

    UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa akiwemo Waziri Mkuu Walioapishwa ni Makatibu Wakuu na Naibu Wakatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru Kenyatta presides over the official opening of the Small Arms Factory

    President Uhuru Kenyatta presides over the official opening of the Small Arms Factory in Ruiru, Kiambu County.The President said through the local production of weaponry, Kenya seeks to enhance self-reliance, domestic innovation, and strengthening of local manufacturing capabilities, while...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto anasema uhuru anaopata kwa sasa unatosha

    “Nimekua nyakati ambazo siasa ni ushawishi wa hoja. Nimejifunza siasa na kushiriki siasa wakati huo. Miaka 6 iliyopita ilikuwa migumu sana kwangu kwani siasa ilikuwa nguvu, vurugu, uporaji, mauaji nk. Ninafuraha sasa naona siasa za ushawishi zinarudi. Kwangu Mimi Uhuru huo UNATOSHA.” Zitto...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania CCM mwacheni Rais afanye kazi kwa uhuru, msimshinikize

    Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza. Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu huwa mnajisikiaje juu wananchi kukosa maji safi na salama tangu Nchi hii ipate uhuru?

    Naandika kwa masikitiko makubwa kwa sababu hali ni mbaya. Wilaya ya Mbogwe ni Wilaya moja wapo katika mkoa wa Geita na ipo karibu na Ziwa Victoria ila haijawahi kugusa maji safi na salama kutoka bombani tangu mwaka 1961 impala leo.
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

    ORODHA YA WAKURUGENZI WAKUU WA 'TISS' TANGU UHURU. Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi ni kuonesha njia: Uhuru Kenyata apata chanjo ya Corona

    Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao . Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
  9. J

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

    Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri. Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir. Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara. Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo. Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Magufuli taught us that Africa can do without foreign aid

    Uhuru Kenyatta: Magufuli taught us that Africa can do without foreign aid Monday, March 22, 2021 President Uhuru Kenyatta's moving tribute to Magufuli President Uhuru Kenyatta on Monday mourned late Tanzanian President John Pombe Joseph Magufuli as the man who showed that Africa can succeed...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

    Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atatoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rc Kunenge tuambie ukweli juu ya vifo na idadi kamili iliyotokana na mkanyagano uwanja wa uhuru

    Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine mamia kujeruhiwa. Huu sio wakati wa kuacha kuwapa Watanzania ukweli juu ya nini kinaendelea hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

    Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule. Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru asitisha hotuba kwenye maombolezo ya marehemu Magufuli ili kuheshimu adhana ya msikiti uliokua karibu

    Nimeipenda hii rais, muhimu sana kuheshimu dini licha ya yote....
  16. JamiiForums Tanzania Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

    Salaam Wakuu, Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli. Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia. Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Msiba Mwili ukienda Dodoma, baadaye jioni tuitane chemba na tukosoane kwa uzembe wa hali ya juu ulioonekana leo Uhuru

    Nilitegemea kabisa kuwa Zoezi hili hasa la Leo Siku ya Pili mngeliratibu Kiutaalam na Kiuweledi kabisa ila mmeonyesha Mapungufu makubwa. Binafsi nilitegemea Tukio kama hili kama Kwenu ni geni basi mngeweza tu kufanya Consultation na wale Waliosimamia Zoezi zima la Kuuaga Mwili wa Hayati Baba wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

    Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho. Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana. Maendeleo hayana vyama!
  19. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

    Ikiwa ni siku ya pili kwa wakazi wa Dar kumuaga Hayati Magufuli. Uwanja wa uhuru ulifurika tangu saa tatu na nusu hali iliyofanya wengine waombwe kusubiri nje Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe aliwaomba wawe wavumilivu kwa kuwa wote watapata fursa ya kuaga kabla mwili haujasafirishwa...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…