MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: TUNAMUENZI JOHN GODFREY RUPIA (1904 - 1978)
Wajukuu ni watamu kuliko wana uliozaa mwenyewe.
Huwezi kujua ukweli wa maneno haya sharti upate mjukuu.
Wajukuu na wao wana mapenzi na babu na bibi zao kushinda wanavyowapenda baba na mama zao.
Nimemjua Joyce...
Na Sisi CHADEMA hatoishia tu Kusheherekea Siku hiyo ya Uhuru bali hata Kauli Mbiu yetu itakuwa ni Katiba Mpya kwa Tanzania tuitakayo.
Halafu na nyie Watu fulani ambao huwa mnatumwa na mnapenda kuja Kutuvamia na hata Kutupiga taarifa iwafikieni kuwa wana CHADEMA wote Siku hiyo tumekubaliana...
Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta,
Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
MIAKA 60 YA UHURU: BEVIN TIPHA MSOWOYA MPIGA PICHA NGULI WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana kupita kiasi.
Niko online na binti mmoja namjua kwa jina la Charming Girl kaniona akaniuliza kama namjua Bevin Tipha Msowoya?
Nikamwambia naam namjua Msowoya...
Salaam
Kenya haitakaa ipate Serikali ya kutawala.
KANU itatawala milele. Forum for the Restoration of Democracy–Kenya (FORD–Kenya) is a Kenyan political party. It was part of the National ya Udinga Watakuwa Wapinzani Milele sababu ya Kinyata. Jeneza la Kinyatta lipo Bungeni, liondolewe pale...
Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi?
Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita?
Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
WAZULU WA IMHAMBANE, MOZAMBIQUE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Kisa hiki nimekitoa hapa hapa barzani nikizungumza na ndugu yangu Abdulkarim.
"Abdulkarim, jina hasa ni Saudtz Thomas Plantan.
Baba yake ni Thomas Saudtz Plantan na alikuwa Mwalimu Mkuu wa Mchikichini Primary School na...
Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki
Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani.
Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga...
Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo?
Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu wasirekebishe simu kwa mafundi wa mitaani ambao sio authorized na Apple.
Kutokana na baadhi ya...
Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.?
Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani?
Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR .
Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB...
1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu.
2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa.
3. Umeme usio na uhakika nchini.
4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi.
5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa.
6. Afya duni kwa Watanzania wengi.
7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo
Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
Wakati Tanzania inaadhimisha uhuru wa Tanganyika unaotimiza miaka 60 9 Disemba, 2021, kumekuwa na kupooza kiasi kwamba mitaani, viwanjani na kwenye majukwaa hakuna dalili za kuashiria shamrashamra za muendelezo wa maadhimisho hayo yanayofikia umri mkubwa wa zaidi ya nusu karne. Hii ni bahati...
Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.
Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TAARIFA KWA UMMA
MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA.
Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
WATOTO WA WAPIGANIA UHURU WANAPOINGIA KATIKA MASANDUKU YA NYARAKA ZA MAREHEMU WAZEE WAO
Nimepata kusema hapa siku chache zilizopita kuwa historia nyingi ya TANU na harakati za kupigania uhuru ipo katika mikono ya watu binafsi.
Kwa zaidi ya miaka 20 nilikuwa natafuta picha ya Ismail Bayumi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.