uhuru

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: Historia ya wapigania uhuru haifahamiki

  3. B

    JamiiForums Tanzania Kenya waadhimisha siku ya Uhuru - Tunayo ya Kujifunza

    Kujifunza ni jambo la kheri kwa waungwana. Kwa hakika hawakukosea waliotambua elimu haina mwisho. Kwa umoja wao bila kujali itikadi zao kisiasa, walikuwa na neno la faraja kwa ajili yao. Ama kweli penye wengi hapaharibiki jambo na ndiyo maana wanachanja mbuga.
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aelekeza mambo sita yanayopaswa kufanywa tunapoanza mwaka wa 61 wa Uhuru wa Tanganyika

    Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera. 1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola. 2...
  6. Freiston

    JamiiForums Tanzania Ni aibu ya mwaka: 60 tena

    Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima na akili zao timamu wanakaa mitandaoni ni kutukanana mambo ya kijinga kijinga kabisa kama vile...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

    Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
  8. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar

    leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar uliopatikana tarehe 10 December 1963. Hivi CCM wanafaidika na nini kuendelea kuhubiri uwongo na kutokubali kuutambua? Happy Independence Day
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi. Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa. Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
  10. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna bora ya kusherehekea Uhuru bila kuonesha silaha za kivita?

    Kuna jambo huwa linanitatiza sana kwenye hizi sherehe za kiserikali, uhuru au muungano. Yaani imekuwa ni kama formula kwamba uhuru lazima tuoneshe masilaha ya kivita na makomandoo wapite pale wakirukaruka. Mi nahisi, kuna kitu hakipo sawa kuhusu hili suala. Yaani ni kwanini sherehe za uhuru wa...
  11. Counterbook

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli tuna uhuru?

    Kama kwl nchi yetu iko huru vyanzo vyake vya mapato mbona vinapingana?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tumesherehekea uhuru wa Tanganyika na siyo wa Tanzania wala siyo wa Tanzania bara. Tanzania haiwezi kusherehekea uhuru maana haijawahi kutawaliwa

    Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania. Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, kusherekea uhuru hakuna maana na bora siku hii iwe siku ya kazi tu kama siku zingine

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Leo pia chakula kutoka kwa familia ya Freeman Mbowe kimekataliwa gereza la Ukonga. sababu zilizotolewa ni kwamba huo ndio utaratibu mpya na maelekezo yapo hivyo hadi hapo watakapotoa utaratibu mwingine. Kumbuka leo ni maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika...
  14. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Karibu keki ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Karibu keki ya Miaka 60 ya uhuru
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Clubhouse Session: Miaka 60 ya Uhuru mchango wa Kidijitali

    Katika siku za karibuni mitandao ya kijamii na Mifumo ya Kidijitali imekuwa maeneo muhimu kwa Jamii ya Tanzania kutumia Uhuru wa Kujieleza na kupigania haki zao nyingine Tukifurahia Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni kwa kiwango gani tumeweza kuitumia mifumo ya Digitali katika kusimamia Haki za...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru, vyombo vya habari vilifanya maandalizi ya kurusha matangazo mubashara?Watangazaji walijiandaa?

    Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti: Rais akiamua kuzifuta kabisa sherehe za uhuru tutamfanya nini?

    Ndiyo! Hakuna la kumfanya, kwasabb katiba imesema rais hashitakiwi kwa jambo lolote. Na ushauri yeye ndiye anaamua aupokee ama aukatae. Kwa katiba hii atakuja kutokea rais ambaye ataamua:- 1. Kuzipiga marufuku na kuzifuta kabisa sherehe za Uhuru. 2. Kuulipua kwa mabomu na kuusabaza kabisa...
  19. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Uhuru Day Special: Tathmini Fupi Awamu Sita za Uongozi

    Abuu Kauthar Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, awamu sita za uongozi kuanzia mwaka Desemba 9, 1961 hadi leo Desemba 9, 2021. Kila awamu ilikuwa na mambo yake kutokana na mazingira ya wakati huo. Julius Nyerere Awamu ya kwanza chini ya Rais Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kujenga...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Wanabodi! leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
Back
Top Bottom