KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI
Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote.
Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita...
Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu.
Rais Samia...
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.
Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia...
Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi?
Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
[18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Historia Ya Uhuru Wa Tanganyika |1950 - 1961 | Mohamed Said | Shemu Ya Kwanza
[18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Tutaaza Saane na nusu Usiku Huu, LIVE usikose Sehemu ya Kwanza
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.
Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.
Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po.
Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama
"Hakuna kama Samia"
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na...
Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza||
Je! CHADEMA mnalijua hili?!
" Hakuna kama Samia "
GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA.
Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani...
“Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud
”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” - Sigmund Freud
Wakati tunaendelea na...
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
chama
chama tawala
dar
dar es salaam
hasara
kuelimishwa
kuhusu
kupoteza
maana
mazingira
mbio
mbio za mwenge
muhimu
mwenge
mwenge wa uhuru
naomba
nguvu
nimechoka
nje
pesa
serikali
shughuli
siasa
swali
tafadhali
tena
thamani
uchumi
ufafanuzi
uhuru
umuhimu
wakuu
wananchi
Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
Wanna jamvi?
Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri lakini dola wanazuia.
Mfano makongamano yanapoandaliwa na kuomba kibali polisi Ina maana yapo ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.