Miaka 60 ya Uhuru: Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa darasani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,068
Hii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma

Shule_ya_msingi_Manda_wilaya_ya_Chamwino_jimbo_la_Mtera._Hapo_watoto_wako_darasani_wakimsikili...jpg

Mungu ibariki Tanganyika
 
Kazi ya mbunge wenu Kibajaji ni kupiga makofi bungeni na kelele za ndiooooooo, lakini simlaumu sana, lawama ziwaendee wapiga kula wake. walitegemea drop-out la darasa la saba liwasaidie nini?
 
Ujinga na umasikini ndio mtaji wao ,unategemea nini kwa hawa vimburu
 
Hii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma

View attachment 1972870

Mungu ibariki Tanganyika
Tanzania umasikini unaletwa na katiba mbovu, inayo waweka viongozi na hakuna mfumo wa kuwawajibisha wakisha ingia madarakani. Ni mwendawazimu pekee yake atakae kubaliana na matumizi mabovu ya fedha za umma, eg misafara ya magari mengi kwenye safari za viongozi, matengenezo ya nyumba za viongozi kila mwaka, misururu ya makada wa CCM safari za nje za raid na mengine mengi, na kuliona la watoto kukaa chini halina mashiko.
 
Kazi ya mbunge wenu Kibajaji ni kupiga makofi bungeni na kelele za ndiooooooo, lakini simlaumu sana, lawama ziwaendee wapiga kula wake. walitegemea drop-out la darasa la saba liwasaidie nini?
Wana vuna walicho panda. Kazi ya mbunge ni kuhamasisha maendeleo, na Tanzania wabunge wanapewa 20m kuziba mapengo ambapo budget inapwaya. Kibajaji anawajibu wa kurudisha pesa zote za mfuko wa jimbo. Miaka 60! huu ni ujinga usio kipimo.
 
Back
Top Bottom