Habari Wakuu,
Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania.
Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na;
1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa
2. Amehudhuria Mahakamani mara 159
Unaweza kumsikiliza hapo chini
Katika masuala ya Uhuru , fedha au uchumi ndio kitakufanya kuwa Huru. Nje na hapo utakuwa mtumwa iwe kwenye ndoa au popote Kama hauna kitu haiwezi kuwa na maamuzi katika maisha yako na hii Ni kwa wote
Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri.
Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa...
Amani iwe nanyi,
Tumeshatimiza miaka 62 toka tupate uhuru wa nchi yetu pendwa ya Tanganyika na baada ya kuungana na ndugu zetu wa Zanzibar tukajiita Tanzania.
Katika safari yetu ndefu hii kama angekuwa mwanadamu basi tunasema anakwenda kuumaliza mwendo, lakini tunashukuru nchi yetu bado...
Baada ya kumaliza kula michembe na maziwa nimekaa zangu kwenye duka la Muha nikaona mdahalo unaoendelea muda huu kupitia TBC 1 ambapo wadau mbalimbali wanajadili masuala mbalimbali hususani uendeleshwaji wa kilimo kwa kileo wanaita uchumi wa blue.
Kwa uelewa wangu mdogo nimeona na kujifunza...
UHURU NA KAZI - DHAMIRA YA KIJIJI CHA MUHOJI KUFUNGUA SEKONDARI YAKE MWAKANI IKO PALE PALE
Wananchi wa Kijiji cha Muhoji, Kata ya Bugwema wameamua kujenga Sekondari yao (Muhoji Sekondari) na dhamira ya kuifungua shule hiyo Januari 2024 iko pale pale.
Ujenzi wa awali unaokamilishwa ni:
*Vyumba...
Leo Tanganyika inasherehekea miaka 62 ya uhuru wa bendera toka kwa mkoloni wa Kiingereza.
Nakumbuka wakati tunapata uhuru Hayati Mwl. JKN, baba wa Taifa alisema, pamoja na uhuru huo, bado kama nchi tulikuwa na kazi ya kufanya kuendelea na mapambano dhidi ya maadui watatu wa nchi yetu ambao ni...
Hello,
Uzi huu haujabeba chuki au nia mbaya. Nimeweka huu uzi Ili ikiwezekana serikali irekebishe baadhi ya mambo. Watanzania wengi hawajui mambo ya kitaifa sasa.
Mimi katika peruziperuzi mchana huu ndio najua kuwa leo ni Independence day. Sikukuu kubwa ya kitaifa kuliko sikukuu zote...
Hi Great thinkers.
Nafikiri kuna jambo haliko sawa hasa tunaposema tulipigania uhuru. Tulipigana na nani.?
Mi navojua ule ulikuwa ni mchakato wa kupata uhuru wa Tanganyika, Na hakuna mtu aliyegoma kutupatia uhuru eti hadi tuanze kupigania.
Ni bora isemwe tu kwamba walioongoza harakati za...
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu.
Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere.
Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha...
Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?
Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu.
Makanisa ya kilokole kina Mwamposa...
Habari ya leo wanajamvi. Ninatoa Pole na hongera mnapofanya kazi zenu kwa jitihada kubwa. Mola awajaalie mema yazidi kuongezeka. Moja kwa moja ninawakaribisha kwenye Mada:
Katika mtazamo wa kwanza jambo hili huonekana kuwa si kweli. Tangu wakati wa Plato kumekuwepo na mawazo kuwa Binadamu siku...
Waziri Mhagama Awahimza TAMWA Kuwekea Mkazo Ajenda ya Uhuru wa Kujieleza Unaojumuisha Sauti za Wanawake
Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya ajenda ya jumla ya haki za binadamu...
MAMA NA MWANA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Huenda historia ya Bi. Mwamtoro bint Chuma na mwanae Haydar Mwinyimvua ikawa ndiyo historia ya pekee ya mama na mwana wote wawili na kwa pamoja walikuwa katika TANU mstari wa mbele wakipigania uhuru wa Tanganyika.
Nyumba ya Bi. Mwamtoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.