Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,638
- 2,461
Nafasi zinazogombaniwa ni ngapi?Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili wa ajira konstebo 500 haya hapaaa Ndugu zangu
Hawa konstebo wanasailiwa kwa KISWAHILI..?
Hongera mungu akutangulie utafanikishaAfadhari ninaweza kutoboa huu usaili sasa
Inawezekana kozi hapo wanangu siwaoni na walikia na vigezo adi vinafurumia cjui nn kimeangaliwa hapo yote kwa yote mtoa liziki mungu naisi aikuwa bahati kwaoNasikia kuna majina mengine eti hayo ni ya ngazi za juu.Kuna ukweli wowote hapa
Hiyo siri yao wenye bahati watabahatika wenye zamu yao watakula shavuNafasi zinazogombaniwa ni ngapi?
Huo Ni Utaratibu Upo Ni Wa Kawaida Sana Miaka TeleNasikia kuna majina mengine eti hayo ni ya ngazi za juu.Kuna ukweli wowote hapa
Kwani kazi zenyewe ziko ngapi wakuu..?Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili wa ajira konstebo 500 haya hapaaa Ndugu zangu
Huo Ni Utaratibu Upo Ni Wa Kawaida Sana Miaka Tele
Subir hawa kwanza wafanye usaili tutajua kinachoendeleaHayoo menginee ni lini sasaa??
Usikute wengine tupo kwenye hayo mengine
Uhamiaji ni jipu sana waliotuma maombi ni wengi wao wanaita wachache...wametumia kigezo gani kukata watu!?!Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili wa ajira konstebo 500 haya hapaaa Ndugu zangu
si nasikia kuna mengine watatoa,,mimi nadhani itakua wameangalia gpa na huenda kuna wengine walichelewa kutuma kwa njia ya posta maombi hayakufikaUhamiaji ni jipu sana waliotuma maombi ni wengi wao wanaita wachache...wametumia kigezo gani kukata watu!?!
si nasikia kuna mengine watatoa,,mimi nadhani itakua wameangalia gpa na huenda kuna wengine walichelewa kutuma kwa njia ya posta maombi hayakufika